Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Ukurasa wake rasmi wa Facebook: ":Huyu Karia ni WA hivyo kabisa na hafai kuwepo TFF, kukiri kwako tayari unaonyesha udhaifi mkubwa sana kwa nafasi uliyonayo. Hata kama unawadai Yanga SI ungewaeleza kwanza kabla ya kuwakata na kwakuwa TFF inafanya KAZI Kwa maandishi ulipaswa kuwaandikia barua na siyo kutueleza Leo baada ya Yanga kuyaweka mambo wazi.
"Ni kweli Yanga hawajapewa pesa zao za ubingwa wa CRDB msimu uliopita lakini kwa sasa pesa zao zimeisha kwa sababu tumefidia kwenye faini tulizokuwa tunawapiga"
Hii kauli ya Kiongozi mkubwa wa mpira. Unastahili kujiuzulu Kwa faida soka la Tanzania. Karia Must Go!!