Mbunge Amina Mollel asema Karia hafai kuwa Rais wa TFF

Mbunge Amina Mollel asema Karia hafai kuwa Rais wa TFF

Wewe ni kiazi kabisa... Kwamba pesa za Bingwq kabal ya kumpa wewe unazikata kwa faini?, kwani kama yanga halipi faini asichukuliwe hatua?. Hiyo ninkaulibya kitapeli na kijinga.
Acha kukurupuka kilaza wewe. Soma barua ya Tff Yanga waliomba ifanyike kwa makubaliano maalumu.

Tatizo mnakurupukia mambo bila kujua. Kwahiyo TFF akate tu pesa bila kuwa na makubaliano.
 
Nafasi ya 4 ni nini?, nafasi ya 4 huna hata kikombe cha maji? Afu unasema mafanikio?. Tp mazembe wapo nafasi ya ngapi na wana vikombe vingapi vya CAF? Wewe na mazembe na ana mafanikio?. Punguzeni uzwazwa. Mafanikio kwenye mpira vikombe tu.
Acha wivu wa kike na mimba juu mshamba wewe. Yaani umeona tu hiyo nafasi ya 4 mengine haujayaona.
 
Mwanao akikukuta umekaa na wazee wezio munacheza bao akafungua kaptura yake na kukukojolea mkojo miguuni na wewe utamrudishia kwa utaratibu huouo?
Mkeo akimpiga mama yako kibao usoni utasubiri muende nyumbani ukamkanye?
 
Hili la kula hela za watu bila ridhaa yao, kanyamaza atakwenda kujibu mahakamani. Kama kweli Yanga waliomba basi aweke uthibitisho wa maandishi kinyuma na hapo ni utapeli na udhurumati
 
U
Anatakiwa ujue. Mpira unaserikali yake ambayo haiingiliwi na wanasiasa unless mtakipata mnachokitafuta
Usidanganye
Muingiliano ni kazima tff hawana nchi wa dola.Lazima washirikiane na Serikali hili mambo yaende ila kuna baadhi ya mambo ndo wanaachiwa tff waamue bila kuingiliwa na mamlaka.
Kama kuna rushwa ama upangaji wa matokeo Serilali inaingia.
 
Shida kubwa tuliyonayo wabongo ni kumkataa mtu anaesema ukweli, tiefuefu walipaswa kuwapa Yanga pesa yao ya ushindi kisha wadai madeni yao, mf ukichukua mkopo uzunguni mpunga wa mshahara unawekwa kwa akaunti yako plus barua ya benki ulipe mkopo, watu weusi tuna shida sana. Huyo Rais hafai ni ukweli mchungu, sasa ni wakati sahihi atoke tu mpira wetu ufike mbali na kutupa furaha
 

Attachments

  • FB_IMG_17495646525669376.jpg
    FB_IMG_17495646525669376.jpg
    359.6 KB · Views: 23
Huyu mbunge kilaza kweli.

Yanga waliomba, sina uhakika kwa maandishi au mdomo, hela zao zitumike kulipa madeni.

Semeni tu Karia kagoma kuwapa point 3 mnamzulia shari.

Juni 15 sio mbali, kazeni fuvu
Leta hiyo barua au email ya Yanga kwenda TFF.

Ya Yanga hii hapa chini
 

Attachments

  • FB_IMG_17495646525669376.jpg
    FB_IMG_17495646525669376.jpg
    359.6 KB · Views: 18
Wahuni wanakupiga faini ili wakate hela ya zawadi Tanzania nchi ngumu sana ndio maana wanapanga matokeo ili anaedaiwa apate hela wamkate...
 
Wahuni wanakupiga faini ili wakate hela ya zawadi Tanzania nchi ngumu sana ndio maana wanapanga matokeo ili anaedaiwa apate hela wamkate...
Wewe jamaa umefikiria mbali sana...halafu najiuliza,hivi endapo Yanga wasingeshinda hilo kombe TFF wangekata wapi hilo deni?
 
Huyu mbunge kilaza kweli.

Yanga waliomba, sina uhakika kwa maandishi au mdomo, hela zao zitumike kulipa madeni.

Semeni tu Karia kagoma kuwapa point 3 mnamzulia shari.

Juni 15 sio mbali, kazeni fuvu
Correspondences walifanye kwenda kwa KARIA? Hapo ndo utaona upeo wao ni mdogo mno
 
Wewe jamaa umefikiria mbali sana...halafu najiuliza,hivi endapo Yanga wasingeshinda hilo kombe TFF wangekata wapi hilo deni?
Ndio maana wanawapa maelekezo marefa Timu fulani ishinde ili wapate Upatu wao mkuu yaani kwa uozo huo ilitakiwa Karia awe ndani..
 
Back
Top Bottom