Mbunge Amina Mollel asema Karia hafai kuwa Rais wa TFF

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Ukurasa wake rasmi wa Facebook: ":Huyu Karia ni WA hivyo kabisa na hafai kuwepo TFF, kukiri kwako tayari unaonyesha udhaifi mkubwa sana kwa nafasi uliyonayo. Hata kama unawadai Yanga SI ungewaeleza kwanza kabla ya kuwakata na kwakuwa TFF inafanya KAZI Kwa maandishi ulipaswa kuwaandikia barua na siyo kutueleza Leo baada ya Yanga kuyaweka mambo wazi.

"Ni kweli Yanga hawajapewa pesa zao za ubingwa wa CRDB msimu uliopita lakini kwa sasa pesa zao zimeisha kwa sababu tumefidia kwenye faini tulizokuwa tunawapiga"

Hii kauli ya Kiongozi mkubwa wa mpira. Unastahili kujiuzulu Kwa faida soka la Tanzania. Karia Must Go!!
 
Inawezekana tunayoyajua kwenye hili sakata ni kidogo na mengi yamejificha!

Ninachofikiria kulikuwa na mkakati wa makusudi wa timu flani kuwa kinara mwaka huu kwa gharama yeyote Ile, na wanazi wa hiyo timu waliyo TFF ( KARIA, KIDAU, KASONGO) walikuwa sehemu ya mkakati na wakubwa serikalini!

Ndio maana ya Ile kauli mbiu yao ya Kizaramo
 
Anatakiwa ujue. Mpira unaserikali yake ambayo haiingiliwi na wanasiasa unless mtakipata mnachokitafuta
 
Ubaya ubwela aitamkwi kwa bahati mbaya
 
Huyu mbunge kilaza kweli.

Yanga waliomba, sina uhakika kwa maandishi au mdomo, hela zao zitumike kulipa madeni.

Semeni tu Karia kagoma kuwapa point 3 mnamzulia shari.

Juni 15 sio mbali, kazeni fuvu
 
Tumefuzu Afcon mara mbili,

2023 na 2025 kama co-host.

Ligi imekuwa kwenye top 5 kwa muda sasa.

Yanga na Simba kufika Fainali za Confederations cup.

Ukweli usemwe tu.
Simba kufika nafasi ya 4 ubora vilabu Afrika

Halafu kuna timu inaleta sinema kila uchao
 
Huyo Kiazi kumbe ni mbunge..tangu lini...
Watu wanataka kusafiria nyota ya vita
 
Kwan yanga wanadai point 3 Au hela
Swali zuri sana hili. Mimi mwenyewe sielewi. Tumetoka kwenye ishu ya derby tumefikia kwenye kukumbushana maden ya miaka 3 nyuma.
Simba kufika nafasi ya 4 ubora vilabu Afrika

Halafu kuna timu inaleta sinema kila uchao
Umeongea jambo la msingi sana. Yanga ingekuwa na mafanikio hayo kimataifa, aisee nchi hii isingekalika. Ila leo ni mafanikio ya Simba ila wanasiasa, serikali na vyombo vya habari wote kimya na badala yake wanazusha kila jambo la kuikwamisha.
 
Huyu mbunge kilaza kweli.

Yanga waliomba, sina uhakika kwa maandishi au mdomo, hela zao zitumike kulipa madeni.

Semeni tu Karia kagoma kuwapa point 3 mnamzulia shari.

Juni 15 sio mbali, kazeni fuvu
Wewe ni kiazi kabisa... Kwamba pesa za Bingwq kabal ya kumpa wewe unazikata kwa faini?, kwani kama yanga halipi faini asichukuliwe hatua?. Hiyo ninkaulibya kitapeli na kijinga.
 
Simba kufika nafasi ya 4 ubora vilabu Afrika

Halafu kuna timu inaleta sinema kila uchao
Nafasi ya 4 ni nini?, nafasi ya 4 huna hata kikombe cha maji? Afu unasema mafanikio?. Tp mazembe wapo nafasi ya ngapi na wana vikombe vingapi vya CAF? Wewe na mazembe na ana mafanikio?. Punguzeni uzwazwa. Mafanikio kwenye mpira vikombe tu.
 
Mh Mbunge aelewa...mafanikio makubw a kabisa ya mpira wa Tanzania pia yamekuja kipindi cha uongozi wa Karia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…