Acha kukurupuka kilaza wewe. Soma barua ya Tff Yanga waliomba ifanyike kwa makubaliano maalumu.Wewe ni kiazi kabisa... Kwamba pesa za Bingwq kabal ya kumpa wewe unazikata kwa faini?, kwani kama yanga halipi faini asichukuliwe hatua?. Hiyo ninkaulibya kitapeli na kijinga.
Acha wivu wa kike na mimba juu mshamba wewe. Yaani umeona tu hiyo nafasi ya 4 mengine haujayaona.Nafasi ya 4 ni nini?, nafasi ya 4 huna hata kikombe cha maji? Afu unasema mafanikio?. Tp mazembe wapo nafasi ya ngapi na wana vikombe vingapi vya CAF? Wewe na mazembe na ana mafanikio?. Punguzeni uzwazwa. Mafanikio kwenye mpira vikombe tu.
Mwanao akikukuta umekaa na wazee wezio munacheza bao akafungua kaptura yake na kukukojolea mkojo miguuni na wewe utamrudishia kwa utaratibu huouo?Huyo mbunge kiazi kwani yanga wameandika barua?
Mkeo akimpiga mama yako kibao usoni utasubiri muende nyumbani ukamkanye?Mwanao akikukuta umekaa na wazee wezio munacheza bao akafungua kaptura yake na kukukojolea mkojo miguuni na wewe utamrudishia kwa utaratibu huouo?
UsidanganyeAnatakiwa ujue. Mpira unaserikali yake ambayo haiingiliwi na wanasiasa unless mtakipata mnachokitafuta
Hiyo hapoHuyo mbunge kiazi kwani yanga wameandika barua?
Leta hiyo barua au email ya Yanga kwenda TFF.Huyu mbunge kilaza kweli.
Yanga waliomba, sina uhakika kwa maandishi au mdomo, hela zao zitumike kulipa madeni.
Semeni tu Karia kagoma kuwapa point 3 mnamzulia shari.
Juni 15 sio mbali, kazeni fuvu
Wewe jamaa umefikiria mbali sana...halafu najiuliza,hivi endapo Yanga wasingeshinda hilo kombe TFF wangekata wapi hilo deni?Wahuni wanakupiga faini ili wakate hela ya zawadi Tanzania nchi ngumu sana ndio maana wanapanga matokeo ili anaedaiwa apate hela wamkate...
Correspondences walifanye kwenda kwa KARIA? Hapo ndo utaona upeo wao ni mdogo mnoHuyu mbunge kilaza kweli.
Yanga waliomba, sina uhakika kwa maandishi au mdomo, hela zao zitumike kulipa madeni.
Semeni tu Karia kagoma kuwapa point 3 mnamzulia shari.
Juni 15 sio mbali, kazeni fuvu
Ndio maana wanawapa maelekezo marefa Timu fulani ishinde ili wapate Upatu wao mkuu yaani kwa uozo huo ilitakiwa Karia awe ndani..Wewe jamaa umefikiria mbali sana...halafu najiuliza,hivi endapo Yanga wasingeshinda hilo kombe TFF wangekata wapi hilo deni?