Mbunge ampa mimba Wema Sepetu

Huyo msukuma sababu ana pesa ndio anasakiziwa au?

Juzi juzi alimrusha Mnamibia kuwa mimba yake wanategemea mtoto sasa imekuwa ya nani.

Maisha haya danadana tu

Yani huyu Dada aliemroga kafa,inasikitisha...
 
Yani huyu Dada aliemroga kafa,inasikitisha...

Juzi anaomba amani sijui alizani akiwa karibu na Aunt E atafika Ndani ya mjengo. Mara watu wamwache D na familia yake mara uwiii...sasa Mama Tee kuingia Dar krisimasi ikamzingua aaagh akaanza kurusha vijembe tena re kuponda kazi ya D. Yaani ni Maombi anahitaji.
 
Huyo msukuma sababu ana pesa ndio anasakiziwa au?

Juzi juzi alimrusha Mnamibia kuwa mimba yake wanategemea mtoto sasa imekuwa ya nani.

Maisha haya danadana tu

musukuma hana hela yoyote ni kapuku chokoraa lowasa ndio alikuwa anamuweka mjini
 

Hahahaa watu walichonga sana jamaniii hii couple ya D na maana tee inasonga,Mungu awaongoze kwakweli,mama swiss najua haamini mpaka kesho kwamba dai harudiiiii
 
Hahahaa watu walichonga sana jamaniii hii couple ya D na maana tee inasonga,Mungu awaongoze kwakweli,mama swiss najua haamini mpaka kesho kwamba dai harudiiiii

Anarusha haya jana na leo sijui kawaje na Dee anamchoma roho hadi anabaki kumtafuta tafuta leo huko insta





Na hii kwa Eeeeeeh, kweli mk.u.ni wa Dee anauota hadi basi na picha ya nisi wa Dee juu leo na maneno kibao.

Krisimasi inayowasha ndio hii


 
hata kabla hujamaliza kuandika libarua lako reeeeefu mwenzako kashaitoa hiyo mimba
 
Hii Taarifa ingekuwa imeandikwa na Mtanzania daima ningekubali!!!
 
Sasa si atakua mtoto wa zinaa.aibu mpya.bora mondi kafunga ndoa kimyakimya
 
Hahahaa my dear,yani huko Insta nimekuta tag nyingi nikasema leo kuna moto huku,huyu madam si tunaambiwa ana mambo ya kizungu mbona kawa mswahili na vijembe anavyotoa sasa....
Na range nalo Hahaha Eeh ustar kazi kweli kweli,ngoja niongeze popcorn muvie ndio kwanza inaanza....
 
ni jambo jema kama mungu kamjaria kupata mimba. kwani kila mwanamkealiye mkamilifu wa kizazi lazima azae
 
Kweli kazi ipo. Najaribu kuwaza tu, hivi Wema Sepetu angekuwaga kweli ni Mzuri(Mrembo haswaa) sijui dunia ingekuwaje? Nahisi angewatukana mpaka wazazi wake.
Huyu dada yuko Fake sana. Hata hiyo issue ya mimba nadhani ni Fix tu ili kuvuta attention.

Amini au usiamini, Wema Sepetu is Suffering from certain mental illness, mostly like is Attention Seeking Disorder(ASD). Ni ugonjwa mbaya sana wa kisaikologia ambapo mgonjwa huishia kuji-risk, kuji-traumatize au hata kujiua/kuua ili tu kutafuta attention. Please waliokuwa karibu na Wema jaribuni kumsaidia kupata tiba sahihi, ama sivyo tutakuja kujuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…