Mbunge analipwa mshahara wa 3.8M kwa mwezi, anapata posho 8M kila mwezi, jumla 11.8M. Akiwa kwenye kikao analipwa posho ya kikao 240K

ifike wakati twendeni dodoma tuwatoa wabunge halafu tupige lock geti. hawana faida

Ngoja tumalizane na mzee Jobo kwanza, baada ya hapo tuelezane ya:

1. Audit ya CAG zikiwamo BOT, TPA na tanroads.
2. Ripoti Tume ya Corona.
3. Uhalali wa wanyonyaji wasiolipa kodi ndani ya nchi.

Tutaelewana tu.
 
Acha roho ya kimaskini, watu hatuwezi kufanana! Dunia nzima hakuna jamii ambayo watu wanafanana, na hiyo tofauti yetu ndiyo inafanya maisha yasonge mbele! Wewe ukipewa hizo hela utakataa? Watz bwana, ndiyo maana mnafurahia kuitwa wanyonge
Justification yako ni clueless.. Nje ya maada!
Labda kama nawe ni Mbunge et al..
 
Hoja ina mashiko kabisa hii,wasiwasi wangu ni hivi viongozi wanapitaga huku kwa uaminifu kweli ili wayaone haya?
Asante mkuu kwa kuturahisishia kufikiri.
 
Un
Justification yako ni clueless.. Nje ya maada!
Labda kama nawe ni Mbunge et al..
Unataka watu wote tulingane kila kitu? What about watu wenye profession sawa, but sababu mmoja yupo TRA, NSSf but mwingine yupo Halmashauri or Wizarani basi kunakuwa na tofauti sana ya kipato? Hatuwezi kulingana mzee, never, na haitokuja kutokea. Gape la kipato will always be there
 
Acha roho ya kimaskini, watu hatuwezi kufanana! Dunia nzima hakuna jamii ambayo watu wanafanana, na hiyo tofauti yetu ndiyo inafanya maisha yasonge mbele! Wewe ukipewa hizo hela utakataa? Watz bwana, ndiyo maana mnafurahia kuitwa wanyonge
Tofauti ni kuwa hizi ni pesa za walipa kodi wote wa nchi hii, wakati huo hakuka chochote wanachokifanya kumpigania huyo mlipa kodi. Matumizi ya kodi lazima yahojiwe na walipa kodi.

Halafu hamlifahamu vizuri bunge la Tanzania, Wanachi tuchukue rasimu ya katiba ya Warioba halafu tuangalie mambo 50 yaliondolewa katika rasimu ya katiba ya warioba. Utagundua karibu 80% ya mapendekezo yaliondolewa yanalihusu bunge. Hatuna bunge la wananchi tuna bunge la "Bunge" linalohudumiwa na wananchi.

Siku wananchi wote tukiamka ndipo tutapiga hatua kama ''Nchi".
 
Kiukweli bado sijaona mzalendo wa kweli ndani ya bunge letu.
Ukijaribu kuangalia, zaidi ya asilimia 40% ya wabunge kipato chao kinafika billion 1, yaan kwenye biashara zao na miradi wanayomiliki. Kiuhalisia wanaweza kukataa kupata shahiki zao zote na pesa zipelekwe kwenye maendeleo ya 'wanyonge', lakini nani anaweza iwe ni upinzani au ccm?
Ndio maana kuna msemo waswahili wanasemaa "pata pesa tujue tabia yako na aliyeshiba hajui kuna wenye njaa".
 
Asante hayati rais Magufuli kwa kutuachia wosia wa kuacha hofu na kumtegemea Mungu kwa kila jambo.

Kimbunga Jobo na Corona wamekiona cha mtema kuni Tanzania.
 
Acha roho ya kimaskini, watu hatuwezi kufanana! Dunia nzima hakuna jamii ambayo watu wanafanana, na hiyo tofauti yetu ndiyo inafanya maisha yasonge mbele! Wewe ukipewa hizo hela utakataa? Watz bwana, ndiyo maana mnafurahia kuitwa wanyonge

Ndiyo maana nimesema upo nje ya maada!!
Nadhani umenielewa
 
Wakati mwingine unaweza ukajiuliza kwamba hivi huyu mtoa hoja anatatizo gani? Amelewa,dishi limeyumba au chupa inapoza kabisa. Kabla hawajaingia kwenye jengo hilo wangepimwa ulevi na utimamu wa akili
 
Hatutaki Watu wote tulingane,lakini walipe Kodi stahiki
 
Nimeandika nikafuta
Nimeandika tena nikafuta

Shikamooo mods
Ile ban ya wiki iliyopita ilinitia hasira sana,ila kwa hili mtanisamehe

Hivi hili bunge la bwana Ndu guy
Na hilo genge lake la CCM
Wanatuona sie wananchi makenge?

Yaani kuna mambo yanatia hasira sana sana sana hii nchi hii hii nchi hii

Anyway

Malofa!

B.W Mkapa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Asante hayati rais Magufuli kwa kutuachia wosia wa kuacha hofu na kumtegemea Mungu kwa kila jambo.

Kimbunga Jobo na Corona wamekiona cha mtema kuni Tanzania.
Hii nini tena kwenye uzi huu??[emoji15][emoji15][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
 
Inaumiza Sana mkuu Dumas the terrible sijui hawa nguchilo wanatuchukuliaje watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…