Mbunge analipwa mshahara wa 3.8M kwa mwezi, anapata posho 8M kila mwezi, jumla 11.8M. Akiwa kwenye kikao analipwa posho ya kikao 240K

Kwa nchi kama Tanzania hiyo mishahara na posho ni kubwa sana,Bunge zima wote ni mafisadi hawapo kwa ajili ya maslahi ya Watanzania bali matumbo yao....na ndo mana wakikosa ubunge wengi wananyong’onyea sana.

Kila nikiangalia hali ya mtaani ilivyo kusema kweli hakuna haki wala ktk hii nchi ni uongo uongo tu na maigizo, si Chana tawala wala wapinzani wote wachumia tumbo, hoja zao hazilengi kumkwamua Mtanzania.....wanajadili kuhusu namna ya kuongeza mapato ya taifa ila likija swala la matumizi wanajiamulia wanavyojua wenyewe.
 
wakati mtumishi wa umma mwenye uzoefu zaidi ya miaka 10 anaganga njaa, hoe hae, hata kibanda hana, hata usafiri tu hana!!
 
Pamoja na hayo mkuu wabunge huchangia pesa nyingi kwenye majimbo yao kuanzia misiba,wenye shida mbalimbali sasa unadhani hiyo michango mikubwa bila hiyo pesa wataiweza, labda utakuwa huishi kwenye majimbo yaliyo nje ya Darisalama,kama ungekuwa huku vijijini ungeona jinsi wabunge wanavyotoa michango yao kwenye shughuli nyingi za wapiga kura wao, naamini pia kama una uwezo watu wanaokupiga mizinga kila siku ni wengi ,huyu atakuomba hiki na mwingine kile. Watu wengi wanaolaumu ndio hao hao kila siku wamekuwa ombaomba kwa watu wenye vipato wakiwemo wabunge.

Ndugu....ukimwezesha mwananchi na ukata ukipungua mtaani wala wananchi hawatakuwa ombaomba .....wananchi wanapokuwa omba omba sio swala kujihisi mungu mtu kujisifu unawasaidia hapana lazma ukae chini ufikirie wanakwama wapi na kwanini ?!kama kiongozi wao utafute njia ya kuwasaidia permanently kumbuka huwi nao masaa yote wala hutakuwa nao milele yote wataendelea kuomba omba mpaka lini waliumbwa ili wawe omba omba?! Au mnajua mnavyowanyonya mnajikuta hamna budi kutoa tu hata kama hamtaki at least dhamiri zisiwahukumu
 
naamini aendapo watumishi wa umma wataboreshewa mishahara yao na marupu rupu basi rushwa zitapungua kama sio kwisha kabisa.

Mishahara mizuri itapunguza vishawisha na rushwa.
 
Fanya kazi wewe!! Acha kulialia!!

Au hama nchi! na kuhama iko kazi hasa ...maana kuipata passport ili uchomoke!!
Heee!! mpaka ujinyee hadharani.

Unaweza kuipata faster km ni ke! Na michongo ya nje huna.
Unakaa miaka kumi bila kusafiri nje hata kenya tu hapo tu.

sijui uta renew!! But Itabaki huko huko na kugongwa mihuri ya moto!!
Hapo hutakaa upewe milele!!!utaisoma number weeeee!!!
Unabakia kuchanganyikiwa mimi??... Mimi...mimi...
 
Alafu umkute yule mbwa wa temeke anadai hata hiki kidogo tulichonacho matako yake

Hivi watu wa temeke ndo mbunge wenu huyu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ndio maana panaitwa daslamu ya zamani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Akili za viongozi wa hapo ni used[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nimesikiliza hotuba ya mama Samia. Ni bla bla kama bla bla nyingine tu za wakati wa kampeni. Kufanya mabadiliko kwenye hii system tuliyonayo ni kama kujidanganya. Hebu ona mbunge anavyomega pato la nchi. Na bado kuna maeneo mengine mengi sana amabyo fedha zinamegwa sana. Rais atakayeleta mabadiliko ni rais atakayekubali kufumua system na kuondoa mianya kama hii. Taifa letu linaingiza pato zuri tu ila vipaumbele imekuwa mifuko ya wanasiasa. NB: Na hapo hujaweka usafiri wa daraja la pili kwenye ndege.
Jamaa amesahau matibabu ya bure kwa wabunge
 
UPUMBAVU ni nini? Upumbavu ni huu. Mbunge analipwa mshahara wa 3.8M kwa mwezi, anapata posho 8M kila mwezi, jumla 11.8M. Akiwa kwenye kikao analipwa posho ya kikao 240K kwa siku na posho ya kujikimu 120K, jumla 360K. Bunge la bajeti litakaa kwa miezi mitatu, akihudhuria vikao vyote atapata 32M, wastani wa 10M kwa mwezi. Kwahiyo hii miezi mitatu ya bunge la bajeti Mbunge ana uhakika wa kukunja 22M kila mwezi.

Sambamba na hayo anapewa mkopo wa 90M kwa ajili ya gari na bima ya afya daraja la kwanza inayomruhusu kutibiwa yeye na familia yake ndani na nje ya nchi. Anapewa lita 1,000 za mafuta kila mwezi.

Vyote hivyo havikatwi kodi. Mtumishi mwenye mshahara wa laki mbili, anakatwa kodi, anakatwa mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF/PSSSF), anakatwa bima ya afya, LAKINI Mbunge mwenye karibu 12M kwa mwezi, na marupurupu kibao hachangii chochote kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, hachangii kodi, wala hachangii bima ya afya.

Baada ya miaka mitano, Mbunge huyohuyo anapewa kiinua mgongo cha 240M, ambacho hakuwahi kukatwa kuchangia hata mwezi mmoja. Je pesa hizi za kiinua mgongo anazolipwa zinatoka wapi kama alikua hakatwi? Jibu ni.kwamba zinatoka kwa watanzania maskini including wale wanaolipwa laki mbili kwa mwezi.

Halafu Mbunge mmoja bila aibu anademka eti watanzania walipe tena kodi kwa kutumia simu zao. Yeye anaiita kodi ya uzalendo na ameshauri ilipwe kila siku. Yani kila ukiamka unakatwa kiasi fulani cha pesa kwenye simu yako kama kodi ya uzalendo.

Wabunge walipaswa kuonesha mfano wa uzalendo. Wakatwe kodi kwenye mishahara yao na posho zao zote. Mbunge akiangalia salary slip yake aone Gross salary ni 11.8M lakini Net saalary ni 7M. Akatwe Bima ya afya, akatwe pensheni pia. Hapo atakua na adabu na ataongea lugha moja na wananchi, maana atakua anafeel kile wananchi wake wanafeel.

Na akipoteza ubunge akiwa na miaka 30 asubirie hadi afikishe miaka 60 ndipo apate mafao yake. Wale wanaopoteza ubunge wakiwa na mika zaidi ya 60 ndio wapewe mafao yao kwa wakati. Na wapewe kwa kadri walivyochangia kwenye mifuko ya hifadhi za jamii. Kama alikua anakatwa 500K kwa mwezi kwa ajili ya pensheni means baada ya miaka mitano atakua amechangia 30M. Hiyo ndio haki yake, lakini asipewe hadi afikishe miaka 60.

Hapa ndio tutaona kweli ni wazalendo. Sio wanatunga sheria za kiiimla kukandamiza wanyonge, halafu wao wanajiondoa kwenye sheria hizo. Wanaishi kwenye dunia yao halafu wakishavimbiwa nyama choma na Dompo wine, wanabweka kuhusu uzalendo. Uzalendo gani wakati umezuia fao la kujitoa kwa vijana maskini, while wewe unavuta mshiko kila baada ya miaka mitano?

Unatunga sheria kuwa kijana maskini aliyetoka chuo akapata ka mkataba ka miaka miwili, akimaliza mkataba wake eti asilipwe mafao yake hadi afikishe miaka 60. Lakini wewe ukipoteza ubunge na miaka 35 unataka uvute mafao yako fasta. Hutaki kusubiri ufikishe miaka 60. Huu ndio uzalendo mnaohubiri?

Halafu hawa watanzania unaotaka walipe kodi ya uzalendo kupitia simu zao ni wapi? Hawahawa maskini au kuna wengine? Tanzania ina watumiaji wa simu za mkononi milioni 40. Kati yao watanzania milioni 8 matumizi yao kwenye simu hayafiki TZS 1,000/= kwa mwezi. Yani kuna watanzania milioni 8 ambao ndani ya mwezi mzima hawawezi kutumia "buku" kwenye simu. Hawa ndio wanataka kukamuliwa kodi ya uzalendo na mijitu inayolipwa 12M kwa mwezi. Upumbavu mtupu.!
FB_IMG_1618395021906.jpg
 
UPUMBAVU ni nini? Upumbavu ni huu. Mbunge analipwa mshahara wa 3.8M kwa mwezi, anapata posho 8M kila mwezi, jumla 11.8M. Akiwa kwenye kikao analipwa posho ya kikao 240K kwa siku na posho ya kujikimu 120K, jumla 360K. Bunge la bajeti litakaa kwa miezi mitatu, akihudhuria vikao vyote atapata 32M, wastani wa 10M kwa mwezi. Kwahiyo hii miezi mitatu ya bunge la bajeti Mbunge ana uhakika wa kukunja 22M kila mwezi.

Sambamba na hayo anapewa mkopo wa 90M kwa ajili ya gari na bima ya afya daraja la kwanza inayomruhusu kutibiwa yeye na familia yake ndani na nje ya nchi. Anapewa lita 1,000 za mafuta kila mwezi.

Vyote hivyo havikatwi kodi. Mtumishi mwenye mshahara wa laki mbili, anakatwa kodi, anakatwa mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF/PSSSF), anakatwa bima ya afya, LAKINI Mbunge mwenye karibu 12M kwa mwezi, na marupurupu kibao hachangii chochote kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, hachangii kodi, wala hachangii bima ya afya.

Baada ya miaka mitano, Mbunge huyohuyo anapewa kiinua mgongo cha 240M, ambacho hakuwahi kukatwa kuchangia hata mwezi mmoja. Je pesa hizi za kiinua mgongo anazolipwa zinatoka wapi kama alikua hakatwi? Jibu ni.kwamba zinatoka kwa watanzania maskini including wale wanaolipwa laki mbili kwa mwezi.

Halafu Mbunge mmoja bila aibu anademka eti watanzania walipe tena kodi kwa kutumia simu zao. Yeye anaiita kodi ya uzalendo na ameshauri ilipwe kila siku. Yani kila ukiamka unakatwa kiasi fulani cha pesa kwenye simu yako kama kodi ya uzalendo.

Wabunge walipaswa kuonesha mfano wa uzalendo. Wakatwe kodi kwenye mishahara yao na posho zao zote. Mbunge akiangalia salary slip yake aone Gross salary ni 11.8M lakini Net saalary ni 7M. Akatwe Bima ya afya, akatwe pensheni pia. Hapo atakua na adabu na ataongea lugha moja na wananchi, maana atakua anafeel kile wananchi wake wanafeel.

Na akipoteza ubunge akiwa na miaka 30 asubirie hadi afikishe miaka 60 ndipo apate mafao yake. Wale wanaopoteza ubunge wakiwa na mika zaidi ya 60 ndio wapewe mafao yao kwa wakati. Na wapewe kwa kadri walivyochangia kwenye mifuko ya hifadhi za jamii. Kama alikua anakatwa 500K kwa mwezi kwa ajili ya pensheni means baada ya miaka mitano atakua amechangia 30M. Hiyo ndio haki yake, lakini asipewe hadi afikishe miaka 60.

Hapa ndio tutaona kweli ni wazalendo. Sio wanatunga sheria za kiiimla kukandamiza wanyonge, halafu wao wanajiondoa kwenye sheria hizo. Wanaishi kwenye dunia yao halafu wakishavimbiwa nyama choma na Dompo wine, wanabweka kuhusu uzalendo. Uzalendo gani wakati umezuia fao la kujitoa kwa vijana maskini, while wewe unavuta mshiko kila baada ya miaka mitano?

Unatunga sheria kuwa kijana maskini aliyetoka chuo akapata ka mkataba ka miaka miwili, akimaliza mkataba wake eti asilipwe mafao yake hadi afikishe miaka 60. Lakini wewe ukipoteza ubunge na miaka 35 unataka uvute mafao yako fasta. Hutaki kusubiri ufikishe miaka 60. Huu ndio uzalendo mnaohubiri?

Halafu hawa watanzania unaotaka walipe kodi ya uzalendo kupitia simu zao ni wapi? Hawahawa maskini au kuna wengine? Tanzania ina watumiaji wa simu za mkononi milioni 40. Kati yao watanzania milioni 8 matumizi yao kwenye simu hayafiki TZS 1,000/= kwa mwezi. Yani kuna watanzania milioni 8 ambao ndani ya mwezi mzima hawawezi kutumia "buku" kwenye simu. Hawa ndio wanataka kukamuliwa kodi ya uzalendo na mijitu inayolipwa 12M kwa mwezi. Upumbavu mtupu.!View attachment 1761859
Well said! Kweli inauma sana!
 
Kwakweli kuna wakati ukiwaza unabaki na maswali!
Hivi waliokuwa wanapanga hii mishahara waliwaza nn?
Duh!huu ni upumbavu kwakweli
 
Back
Top Bottom