Mbunge analipwa mshahara wa 3.8M kwa mwezi, anapata posho 8M kila mwezi, jumla 11.8M. Akiwa kwenye kikao analipwa posho ya kikao 240K

Na waheshimiwa sanaa viongozi wa vyama vya upinzqlani wote wamenufaika kwa awamu tofauti. Viongozi Bawacha wameamua hata kuwa tofauti na vyama vyao.
Mimi pia najiandaa kuacha utumushi wa uma niwe mwanasiasa. Nichagulie chama
 
Mbunge analipwa mshahara wa 3.8M kwa mwezi, anapata posho 8M kila mwezi, jumla 11.8M. Akiwa kwenye kikao analipwa posho ya kikao 240K kwa siku na posho ya kujikimu 120K, jumla 360K. Bunge la bajeti litakaa kwa miezi mitatu, akihudhuria vikao vyote atapata 32M, wastani wa 10M kwa mwezi. Kwahiyo hii miezi mitatu ya bunge la bajeti Mbunge ana uhakika wa kukunja 22M kila mwezi.

Sambamba na hayo anapewa mkopo wa 90M kwa ajili ya gari na bima ya afya daraja la kwanza inayomruhusu kutibiwa yeye na familia yake ndani na nje ya nchi. Anapewa lita 1,000 za mafuta kila mwezi. Vyote hivyo havikatwi kodi. Mtumishi mwenye mshahara wa laki mbili, anakatwa kodi, anakatwa mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF/PSSSF), anakatwa bima ya afya, LAKINI Mbunge mwenye karibu 12M kwa mwezi, na marupurupu kibao hachangii chochote kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, hachangii kodi, wala hachangii bima ya afya.

Baada ya miaka mitano, Mbunge huyohuyo anapewa kiinua mgongo cha 240M, ambacho hakuwahi kukatwa kuchangia hata mwezi mmoja. Je pesa hizi za kiinua mgongo anazolipwa zinatoka wapi kama alikua hakatwi? Jibu ni.kwamba zinatoka kwa watanzania maskini including wale wanaolipwa laki mbili kwa mwezi.Halafu Mbunge mmoja bila aibu anademka eti watanzania walipe tena kodi kwa kutumia simu zao. Yeye anaiita kodi ya uzalendo na ameshauri ilipwe kila siku. Yani kila ukiamka unakatwa kiasi fulani cha pesa kwenye simu yako kama kodi ya uzalendo.

Wabunge walipaswa kuonesha mfano wa uzalendo. Wakatwe kodi kwenye mishahara yao na posho zao zote. Mbunge akiangalia salary slip yake aone Gross salary ni 11.8M lakini Net saalary ni 7M. Akatwe Bima ya afya, akatwe pensheni pia. Hapo atakua na adabu na ataongea lugha moja na wananchi, maana atakua anafeel kile wananchi wake wanafeel.
Na akipoteza ubunge akiwa na miaka 30 asubirie hadi afikishe miaka 60 ndipo apate mafao yake. Wale wanaopoteza ubunge wakiwa na mika zaidi ya 60 ndio wapewe mafao yao kwa wakati. Na wapewe kwa kadri walivyochangia kwenye mifuko ya hifadhi za jamii. Kama alikua anakatwa 500K kwa mwezi kwa ajili ya pensheni means baada ya miaka mitano atakua amechangia 30M. Hiyo ndio haki yake, lakini asipewe hadi afikishe miaka 60.

Hapa ndio tutaona kweli ni wazalendo. Sio wanatunga sheria za kiiimla kukandamiza wanyonge, halafu wao wanajiondoa kwenye sheria hizo. Wanaishi kwenye dunia yao halafu wakishavimbiwa nyama choma na Dompo wine, wanabweka kuhusu uzalendo. Uzalendo gani wakati umezuia fao la kujitoa kwa vijana maskini, while wewe unavuta mshiko kila baada ya miaka mitano?

Unatunga sheria kuwa kijana maskini aliyetoka chuo akapata ka mkataba ka miaka miwili, akimaliza mkataba wake eti asilipwe mafao yake hadi afikishe miaka 60. Lakini wewe ukipoteza ubunge na miaka 35 unataka uvute mafao yako fasta. Hutaki kusubiri ufikishe miaka 60. Huu ndio uzalendo mnaohubiri?

Halafu hawa watanzania unaotaka walipe kodi ya uzalendo kupitia simu zao ni wapi? Hawahawa maskini au kuna wengine? Tanzania ina watumiaji wa simu za mkononi milioni 40. Kati yao watanzania milioni 8 matumizi yao kwenye simu hayafiki TZS 1,000/= kwa mwezi. Yani kuna watanzania milioni 8 ambao ndani ya mwezi mzima hawawezi kutumia "buku" kwenye simu. Hawa ndio wanataka kukamuliwa kodi ya uzalendo na watu wanaolipwa 12M kwa mwezi.
Yaan inatia hasira sanaaa, ukianza kufikiria hivi vitu had roho inauma yaan
 
Nimesikiliza hotuba ya mama Samia. Ni bla bla kama bla bla nyingine tu za wakati wa kampeni. Kufanya mabadiliko kwenye hii system tuliyonayo ni kama kujidanganya. Hebu ona mbunge anavyomega pato la nchi. Na bado kuna maeneo mengine mengi sana amabyo fedha zinamegwa sana. Rais atakayeleta mabadiliko ni rais atakayekubali kufumua system na kuondoa mianya kama hii. Taifa letu linaingiza pato zuri tu ila vipaumbele imekuwa mifuko ya wanasiasa. NB: Na hapo hujaweka usafiri wa daraja la pili kwenye ndege.
Na Rais huyo asitokane na chama cha siasa.
 
UPUMBAVU ni nini? Upumbavu ni huu. Mbunge analipwa mshahara wa 3.8M kwa mwezi, anapata posho 8M kila mwezi, jumla 11.8M. Akiwa kwenye kikao analipwa posho ya kikao 240K kwa siku na posho ya kujikimu 120K, jumla 360K. Bunge la bajeti litakaa kwa miezi mitatu, akihudhuria vikao vyote atapata 32M, wastani wa 10M kwa mwezi. Kwahiyo hii miezi mitatu ya bunge la bajeti Mbunge ana uhakika wa kukunja 22M kila mwezi.

Sambamba na hayo anapewa mkopo wa 90M kwa ajili ya gari na bima ya afya daraja la kwanza inayomruhusu kutibiwa yeye na familia yake ndani na nje ya nchi. Anapewa lita 1,000 za mafuta kila mwezi.

Vyote hivyo havikatwi kodi. Mtumishi mwenye mshahara wa laki mbili, anakatwa kodi, anakatwa mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF/PSSSF), anakatwa bima ya afya, LAKINI Mbunge mwenye karibu 12M kwa mwezi, na marupurupu kibao hachangii chochote kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, hachangii kodi, wala hachangii bima ya afya.

Baada ya miaka mitano, Mbunge huyohuyo anapewa kiinua mgongo cha 240M, ambacho hakuwahi kukatwa kuchangia hata mwezi mmoja. Je pesa hizi za kiinua mgongo anazolipwa zinatoka wapi kama alikua hakatwi? Jibu ni.kwamba zinatoka kwa watanzania maskini including wale wanaolipwa laki mbili kwa mwezi.

Halafu Mbunge mmoja bila aibu anademka eti watanzania walipe tena kodi kwa kutumia simu zao. Yeye anaiita kodi ya uzalendo na ameshauri ilipwe kila siku. Yani kila ukiamka unakatwa kiasi fulani cha pesa kwenye simu yako kama kodi ya uzalendo.

Wabunge walipaswa kuonesha mfano wa uzalendo. Wakatwe kodi kwenye mishahara yao na posho zao zote. Mbunge akiangalia salary slip yake aone Gross salary ni 11.8M lakini Net saalary ni 7M. Akatwe Bima ya afya, akatwe pensheni pia. Hapo atakua na adabu na ataongea lugha moja na wananchi, maana atakua anafeel kile wananchi wake wanafeel.

Na akipoteza ubunge akiwa na miaka 30 asubirie hadi afikishe miaka 60 ndipo apate mafao yake. Wale wanaopoteza ubunge wakiwa na mika zaidi ya 60 ndio wapewe mafao yao kwa wakati. Na wapewe kwa kadri walivyochangia kwenye mifuko ya hifadhi za jamii. Kama alikua anakatwa 500K kwa mwezi kwa ajili ya pensheni means baada ya miaka mitano atakua amechangia 30M. Hiyo ndio haki yake, lakini asipewe hadi afikishe miaka 60.

Hapa ndio tutaona kweli ni wazalendo. Sio wanatunga sheria za kiiimla kukandamiza wanyonge, halafu wao wanajiondoa kwenye sheria hizo. Wanaishi kwenye dunia yao halafu wakishavimbiwa nyama choma na Dompo wine, wanabweka kuhusu uzalendo. Uzalendo gani wakati umezuia fao la kujitoa kwa vijana maskini, while wewe unavuta mshiko kila baada ya miaka mitano?

Unatunga sheria kuwa kijana maskini aliyetoka chuo akapata ka mkataba ka miaka miwili, akimaliza mkataba wake eti asilipwe mafao yake hadi afikishe miaka 60. Lakini wewe ukipoteza ubunge na miaka 35 unataka uvute mafao yako fasta. Hutaki kusubiri ufikishe miaka 60. Huu ndio uzalendo mnaohubiri?

Halafu hawa watanzania unaotaka walipe kodi ya uzalendo kupitia simu zao ni wapi? Hawahawa maskini au kuna wengine? Tanzania ina watumiaji wa simu za mkononi milioni 40. Kati yao watanzania milioni 8 matumizi yao kwenye simu hayafiki TZS 1,000/= kwa mwezi. Yani kuna watanzania milioni 8 ambao ndani ya mwezi mzima hawawezi kutumia "buku" kwenye simu. Hawa ndio wanataka kukamuliwa kodi ya uzalendo na mijitu inayolipwa 12M kwa mwezi. Upumbavu mtupu.!

Na Malisa GJ
 
Wenyewe malipo hayo wanaona hayatoshi na wanataka zaidi.

Pia kumbuka kinacholipiwa kodi ni mshahara tu. Siyo posho wala allowance nyingine yoyote.

Hao ndiyo wanaowapangia wengine kodi za kulipa.

Hiiiiii bagosha!
 
Wenyewe malipo hayo wanaona hayatoshi na wanaotaka zaidi.

Mbona nauli wakati wa likizo za watumishi hukatwa Kodi??
 
Nnachofurahi siku hizi watz sio watu wa kuburuzwa huwa watu wanahoji

Shoti ni sehemu moja tu nguvu ya uma tukifanikiwa hapo tunaweza kusema Tanzania ni nchi tajiri tena kifua mbele kabisa
 
Wenyewe malipo hayo wanaona hayatoshi na wanaotaka zaidi.

Pia kumbuka kinacholipiwa kodi ni mshahara tu. Siyo posho wala allowance nyingine yoyote.

Hao ndiyo wanaowapangia wengine kodi za kulipa.

Hiiiiii bagosha!
Na ujue wamefanya hivo ili kukwepa kodi..kuna maana gani wewekewe posho yote hiyo inayozidi mshahara mara 2.5 bila kukatwa kodi..kweli mwamba ngoma huvutia kwake. Na kwakuwa wanachofanya dhuluma..ndio maana maisha yao baada ya ubunge ni shida sana..kwa maana walivuna vya wizi..ndio maana wengine wanapambana waishi milele humo bungeni.... muda utaongea..siku itapofika tanzania ikaamka usingizini..
 
Tatizo letu zaidi ni ujinga wetu. Si unaona hata huku mitandaoni wapo?
 
Acha roho ya kimaskini, watu hatuwezi kufanana! Dunia nzima hakuna jamii ambayo watu wanafanana, na hiyo tofauti yetu ndiyo inafanya maisha yasonge mbele! Wewe ukipewa hizo hela utakataa? Watz bwana, ndiyo maana mnafurahia kuitwa wanyonge
 
Back
Top Bottom