Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Usiri uliopo kwenye ajira Tanzania unatokana na usiri uliopo katika mfumo wa uteuzi. Kama wakubwa wanapatikana Bila kuwepo mfumo rasmi basi hata wadogo nao watapatikana Kwa usiri mkubwa.
Kama tunataka uwazi katika ajira na kama tunataka ajira ziwe by merits basi tumshauri Mhe. Rais afanye uteuzi baada ya kuwepo mchakato WA wazi wakufikia ngazi ya uteuzi. Watu waombe kuwa viongozi Kwa vigezo, wafanyiwe live interview na mwisho watakaoingia Tatu Bora basi abaki na jukumu la kuchagua miongoni mwao.
Ukiwepo mfumo wa compitation katika ajira za juu basi watakaokabidhowa Ofisi ili wafanikiwe watatafuta cream yakufanya nayo KAZI na hivyo wataweka vigezo vitakavyopeleekea kupatikana MTU sahihi.
Tusimpomshauri Rais abadili katiba na sheria bado ajira zitaendelea kubaki kuwa zakufahamiana. Tanzania hakuna mfumo wa ajira ndio maana unapelekea hardcopy, unaandika barua Kwa mkono wako, NK means wapo watu wanaopokea na kuchambua na hapo Ndipo ubaguzi ulipo