PreGE2025 Mbunge Annatropia Theonest: Reforms ni sehemu ya 4R za Rais Samia, ahoji kukamatwa Lissu kisa kudai mabadiliko

PreGE2025 Mbunge Annatropia Theonest: Reforms ni sehemu ya 4R za Rais Samia, ahoji kukamatwa Lissu kisa kudai mabadiliko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mbunge wa Viti Maalumu Chadema na ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Annatropia Theonest ahoji watu kuhitaji 'Reforms' ni kosa baada ya Mwenyekiti wa Chama hichoTaifa, Tundu Lissu kuweka ndani.

 
Ni Maneno tu ya 4R ila utekelezaji ni Zero hiyo R ya Reform hawaitaki maana wanajua wakifanya Reform itawazuia kuiba na wao wanataka kuiba
Na uhai wa ccm upo kwenye kuiba kura na rasilimali za taifa!
 
Back
Top Bottom