Braza mimi nimekulia mjini kutukana sisi wala hatuoni ni ujanja na siwezi kukorofishana kwa sababu hiyo tafuta sababu ingine wa Porini anapenda kutukana na wengine akitaniwa kidogo tuu yupo radhi mpaka kumtafuta mganga....
Haiwezekani kila Siku kwa Nia Njema tu tunaamua kwenda kutizama Rede yao ila kwa tunayoyaona na wanayoyafanya tunajikuta mwishowe 'tunadindisha' Silaha zetu Tukuka za Kibaiolojia na hali zetu kuanza kuwa mbaya.