Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Braza mimi nimekulia mjini kutukana sisi wala hatuoni ni ujanja na siwezi kukorofishana kwa sababu hiyo tafuta sababu ingine wa Porini anapenda kutukana na wengine akitaniwa kidogo tuu yupo radhi mpaka kumtafuta mganga....Hypocrite, Moron and a Sycophant.