Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Ya kwangu ni 001974Msifiche M-pesa password kwa wake na waume zenu! Kama huna familia bas hata wazazi wako tu.
Ndiyo unaona umuhimu wakumwambia mkeo password?Naunga mkono hoja, juzi kidogo nife na wife hajui passolword yangu ya mpesa wala bank
Ya kwangu ni 001974
Ndiyo la muhimu sanaMsifiche M-pesa password kwa wake na waume zenu! Kama huna familia bas hata wazazi wako tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ya kwangu ni 001974
Ya kwangu ni 001974
Mbona password ndefu hvy, pesa ipo kweli.?Ya kwangu ni 001974
Inikua bado kidogo ufe πππNaunga mkono hoja, juzi kidogo nife na wife hajui passolword yangu ya mpesa wala bank
Hahahaha hahahaha ondoa hizo zeroMbona password ndefu hvy, pesa ipo kweli.?
Utaratibu huo uwezeshe ndugu hao hao kudaiwa na kulipa madeni ya marehemu kama vile Songesha.serikali iweke utaratibu ili ndugu wa karibu waweze kudai fedha hiz
Mpesa sio Saving account nazani kuwa wakati Bank kuu walitolea ufafanuziMsifiche M-pesa password kwa wake na waume zenu! Kama huna familia bas hata wazazi wako tu.
Kisheia Mpesa au Tigo pesa sio sehemu ya kutunzia pesa, watu walisha fanya ndo bankMbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga amesema watu wanaofariki na kuacha fedha kwenye mitandao kama Tigo pesa, M-Pesa, Airtel Money nk wanazinufaisha kampuni za simu huku serikali ikiwa haipati kitu.
Ameishauri serikali iweke utaratibu ili ndugu wa karibu waweze kudai fedha hizo na serikali kunufaika kwa upande mwingine ili mitandao ya simu isinufaike peke yao kutokana na fedha nyingi ambazo waliofariki huziacha.