SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,199
- Thread starter
-
- #41
Umefafanua vema. Thanks..Sawa, lakini hata Waziri Mkuu anachaguliwa na watu wa jimbo lake tu, lakini anakuwa Waziri Mkuu wa nchi nzima kwa msingi wa kuwa mbunge aliyechaguliwa na watu wa jimbo lake tu. At least in theory.
Point ni kwamba angalau amepitia kizingiti cha kuchagukiwa na wananchi kuwa mbunge.
Mtu wa kuteuliwa tu anaweza kuwa hajapitia kizingiti cha kuchagukiwa hata na mtu mmoja.
NJE YA MADA.
======
Kwanini Tanzania hakuna naibu waziri wa ulinzi?? Au yupo lakini mimi ndio sijui??
CC: Sakasaka Mao T14 Armata Retired Kiranga JokaKuu
Unauliza hakuna mtu aliye naibu waziri wa ulinzi sasa au hakuna cheo cha naibu waziri wa ulinzi?NJE YA MADA.
======
Kwanini Tanzania hakuna naibu waziri wa ulinzi?? Au yupo lakini mimi ndio sijui??
CC: Sakasaka Mao T14 Armata Retired Kiranga JokaKuu
Mkuu, Je ni takwa la kikatiba au ni utashi tu wa Mh. Rais??..kuna wakati tulikuwa na Naibu Waziri ktk wizara ya ulinzi.
..sina kumbukumbu ya mara ya mwisho wizara hiyo kuwa na Naibu Waziri.
Hili ndio swali langu la msingi mkuu??..Unauliza hakuna mtu aliye naibu waziri wa ulinzi sasa au hakuna cheo cha naibu waziri wa ulinzi?
Sikuwahi kumsikia huyu mtu wala cheo hiki, inawezekana kwa sababu nilikuwa bado mdogo sana..Kama ni cheo mimi nishakaa na naibu waziri wa ulinzi Seif Bakari tukafanya mazungumzo ya kujenga taifa.
Unauliza hakuna mtu aliye naibu waziri wa ulinzi sasa au hakuna cheo cha naibu waziri wa ulinzi?
Kama ni cheo mimi nishakaa na naibu waziri wa ulinzi Seif Bakari tukafanya mazungumzo ya kujenga taifa.
Mkuu, Je ni takwa la kikatiba au ni utashi tu wa Mh. Rais??
Je, ni Wizara yoyote ile inaweza isiwe na naibu waziri au ni MoD pekee??..
Okay. Asante sana mkongwe. Tuna mengi sana ya maana ya kujifunza kupitia watu kama nyie....Naamini ni utashi wa Raisi kwasababu tuna historia ya kuwa na Manaibu waziri ktk wizara hiyo.
Alafu mkuu (out of curiosity) ninaomba kujua, jinsi Mh. Philip Mpango alivyopatikana kama Makamu wa Rais, mchakato mzima upo ndani ya katiba??..Naamini ni utashi wa Raisi kwasababu tuna historia ya kuwa na Manaibu waziri ktk wizara hiyo.
Kwa hiyo Samia alimuua Magufuli kwa mantiki hii??..Miaka ya nyuma nilishawahi kuwaza hivi, hasa ukiangalia gharama kubwa ya pesa za wananchi inavyotumika katika chaguzi ndogo. Lakini baadae nikaja kugundua kama ikiwekwa kuwa hivyo matokeo ni kuwa hao wabunge na madiwani watakua wanakufa kwa idadi kubwa sana kila mara, sababu hapa ni Africa kuna teknolojia na pia kuna umasikini hivyo walio karibu kiwania hizo nafasi wangechagua kuwaua walio madarakani ili wao waingie
CC: KichuguuNJE YA MADA.
======
Kwanini Tanzania hakuna naibu waziri wa ulinzi?? Au yupo lakini mimi ndio sijui??
CC: Sakasaka Mao T14 Armata Retired Kiranga JokaKuu
Hayo ni maswali mawili tofauti.Hili ndio swali langu la msingi mkuu??..
Ninaomba unijibu yote kama unaweza ili na mimi nipate kujifunza kupitia wewe..Hayo ni maswali mawili tofauti.
Kumtaja Samia na Magufuli ni kama mfano tu. Don't take it seriously..Katika hiyo teknolojia wapo wanaoua wengine bila hata kugombea nafasi ya kisiasa wala chochote kile. Kuhusu majina ya watu unayotaja hapa ni kama inaenda nje ya mjadala. Makamu wa Rais hawezi kuua Rais ili yeye awe Rais kwa sababu wote wawili tayari wapo madarakani
Kama kuuwawa kisa ubunge au udiwani, si unaweza kuuwawa baada ya kupigiwa na wana Jimbo au kamati ya mkoa??Katika hiyo teknolojia wapo wanaoua wengine bila hata kugombea nafasi ya kisiasa wala chochote kile.
Kwani mtu akipigiwa kura na wananchi ndio hawezi kuuwawa?? JFK wa Marekani hakuuwawa yule??..Bora kufanya uchaguzi wa nafasi inayoachwa wazi, ili kuepusha njama za mauaji ya vongozi..