Mbunge Bi Chum Kombo: Wanawake wa mkoa wa kaskazini Pemba tutaulinda muungano kwa gharama yoyote

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mwakilishi wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mhe. Bi Chum Kombo Khamis amesema kuwa kwa niaba ya wanawake wa mkoa huo, wanaahidi kuilinda na kuihudumisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa gharama yoyote

Kwa niaba ya wanawake wa mkoa wa kaskazini Pemba niseme kwamba naahidi kwamba tutaulinda muungano kwa gharama yoyote. Tuta muungano huu na kuhudumisha kwa gharama yoyote kama ambavyo Chama chetu cha Mapinduzi lakini maserikali yetu ya mapinduzi ya Zanzibar leo serikali yetu viongozi wetu waliungana Tanganyika na Zanzibar.

Soma Pia: Musukuma: Mawaziri wa Zanzibar chungeni kauli zenu za kibaguzi bungeni, Rais achukue hatua

Sasa leo sio rahisi kwamba kusema muungano huu hata ikivunjika uvunjike. Haiwezekani. Tutaendelea kuulinda muungano huu. Leo tumekuwa watu wa damu. Mpemba leo anahitajikana Kigoma. Kaoa kazaa. Lakini mtu paje mtu hapaje yuko Sumbawanga kadhaa. Kwa hiyo mimi naomba tutaendelea kulinda muungano huu ili tuendelee kujenga umoja na na udugu wetu. Nakushukuru mheshimiwa naibu spika. Asante sana."Bi Chum Kombo Khamis

Sasa leo sio rahisi kwamba kusema muungano huu hata ikivunjika uvunjike. Haiwezekani. Tutaendelea kuulinda muungano huu. Leo tumekuwa watu wa damu. Mpemba leo anahitajikana Kigoma. Kaoa kazaa. Lakini mtu paje mtu hapaje yuko Sumbawanga kadhaa. Kwa hiyo mimi naomba tutaendelea kulinda muungano huu ili tuendelee kujenga umoja na na udugu wetu. Nakushukuru mheshimiwa naibu spika. Asante sana."
The only thing mnaweza kulinda ni jiko tu, thats why you belong
 
Wewe ni nani mpaka uwaaemee wanawake wa Mkoa wa Kaskazini Pemba?
 
Mwakilishi wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mhe. Bi Chum Kombo Khamis amesema kuwa kwa niaba ya wanawake wa mkoa huo, wanaahidi kuilinda na kuihudumisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa gharama yoyote

Kwa niaba ya wanawake wa mkoa wa kaskazini Pemba niseme kwamba naahidi kwamba tutaulinda muungano kwa gharama yoyote. Tuta muungano huu na kuhudumisha kwa gharama yoyote kama ambavyo Chama chetu cha Mapinduzi lakini maserikali yetu ya mapinduzi ya Zanzibar leo serikali yetu viongozi wetu waliungana Tanganyika na Zanzibar.

Soma Pia: Musukuma: Mawaziri wa Zanzibar chungeni kauli zenu za kibaguzi bungeni, Rais achukue hatua

Sasa leo sio rahisi kwamba kusema muungano huu hata ikivunjika uvunjike. Haiwezekani. Tutaendelea kuulinda muungano huu. Leo tumekuwa watu wa damu. Mpemba leo anahitajikana Kigoma. Kaoa kazaa. Lakini mtu paje mtu hapaje yuko Sumbawanga kadhaa. Kwa hiyo mimi naomba tutaendelea kulinda muungano huu ili tuendelee kujenga umoja na na udugu wetu. Nakushukuru mheshimiwa naibu spika. Asante sana."Bi Chum Kombo Khamis

Tutaukinda,ninamdogo wangu anaitwa Hamis,kinnyaki anakijua!
 
Ujinga na Unafiki ni Lobes mbili za Ubongo mmoja.
 
Anafaidika kwa kuwa mbunge
Analipwa mshahara na Tanganyika
Ameingia bunge la Tanganyika badala la Zanzibar lazima ateteee muungano huo wa kidwanzi.
Akwende zake hakuna anayeutaka huo muungano
 
Muungano gani ataulinda!! Huu huu wa kinyonyaji wa changu changu, chako changu.... Au kuna muungano mwingine?
 
Back
Top Bottom