Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mbunge Boniphace Mwita Getere amehoji kuhusu ongezeko la tembo na uwezekano wa kuanzishwa kwa mpango wa uzazi wa mpango kwa wanyama hao. Amesema kuwa tembo huishi kwa muda mrefu, kati ya miaka 60 hadi 70 au zaidi, jambo linalochangia kuongezeka kwa idadi yao.
Kutokana na kutokuwepo kwa utaratibu wa kuvuna tembo kwa kuwaua, ameuliza ni lini serikali itachukua hatua za kudhibiti uzazi wao ili kupunguza kasi ya ongezeko hilo.
Kutokana na kutokuwepo kwa utaratibu wa kuvuna tembo kwa kuwaua, ameuliza ni lini serikali itachukua hatua za kudhibiti uzazi wao ili kupunguza kasi ya ongezeko hilo.