econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Huyo naye mjinga
Kama Magufuli aliminya demokrasia yeye aliwezaje kupita kuwa mbunge toka upinzani kupitia upinzani kwenye sanduku la kura?
?
Atueleze kama demokrasia Magufuli kipindi chake haikuwepo atueleze yeye alifanikiwa vipi kuwa mbunge kupitia upinzani.
Magufuli alikuwa hawara yake kuwa Magufuli alinogewa sana na penzi lake na kuamua ampe ubunge au? Alipitaje ubunge? Kama demokrasia haikuwepo ina maana na yeye yuko bunge nje ya demokrasia?.mpuuzi huyo mkubwa Aida
Huyo aliwekwa na TISS. Bara wabunge wawili tu wa upinzani, CUF na CHADEMA. Na wote wanawake