Mbunge CHADEMA amlipua Hayati Magufuli bungeni, asema aliua demokrasia


Huyo aliwekwa na TISS. Bara wabunge wawili tu wa upinzani, CUF na CHADEMA. Na wote wanawake
 

Ubunge wa TISS uwe unaelewa. Halafu huyo sio CHADEMA ni CCM .
 
Yeye ndio alipitishwa na huyo anayemsema, akawageuka wenzake na akaingia Bungeni. Huyu sasa ndio mnafki mkubwa alitakiwa kuwa na aibu na kunyamaza

Nashangaa anapata wapi ujasiri. Wenzake walipinga uchaguzi yeye akakimbia kwenye uapishwaji wa Magufuli ili tu kukididimiza chama, leo kaona Magufuli hayupo kamgeuka. Mnafiki mkubwa.
 
Kwa hiyo Chadema mnalipua Makaburi tu!

Huyo sio mbunge wa CHADEMA ni CCM mjinga. Alikisaliti chama akaenda jamhuri kwenye hafla ya kumuapisha Magufuli, leo anamgeuka kponda. Uzuri chama kilishampuuza amebaki kujisemesha.
 
Maridhiano at work. Only one agenda. Kufuta legacy. Both parties to the maridhiano. One agenda only.
 
Ngoja waje...!
 
Legacy imeguswa πŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…