Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
- Thread starter
-
- #41
Nilipofungua sikuangalia jina la mtoa hoja, nilidhani ni mtu mwenye uelewa, kumbe ni Wakudadavua!
Kwanza mimi sio kamanda...pili hoja yake nimeielewa ndio maana nikatoa maoni niliyotoa!Kamanda hoja yake umeielewa?
Kwani ombaomba tena walioacha akili geti la mtaa wa kijani wanakauka pale mtaani kwenu?Kamanda tuliza akili, jishughulishe kuepuka kuomba omba
Wewe huna hoja,endelea kugonga meza hapo mjengoni .
Sagaji la Taifa.
Aina yenyewe ya raia tulio nao ndio nyie kina iboya2021 Basi safari yetu ni ndefu sasna.Mnazidi kujicheleesha tu hivi hiyo katiba itakuja na ajira za kuwapa? fanyeni kazi
Ninachojua huyu mbunge ni miongoni mwa COVID-19. Hivi siku hizi Covid-19 ina sauti ya kushauri kitu?Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato.
Chanzo: Radio One
----
Ndugu zangu,
Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.
Kwani huyo mbunge ulipomuuliza alisema anawakilisha chama gani? Isije ikawa COVID-19 ya Ndugai kuwaapisha vichochoroniKongole mh.Conchester Lwamlaza👊👍👍
BAVICHA wao kutwa na kutaka maandamano tu.....
Hawa BAVICHA kazi zao ni matamko makali na maandamano.....hawa jamaa wanapenda SHARI NA KUTAKA VURUGU TU.....
Kama alivyochangamkia ofa ya Ndugai na Mwendazake kupitia covid-19 na kuapisha chap chap vichochoroniMbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato.
Chanzo: Radio One
----
Ndugu zangu,
Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.
Inasemekana Kenya wana moja ya katiba bora sana hapa Africa, lakini ebu nenda huko Pokot ukaone maisha ya wapokot na wakaramajong kama hiyo katiba nzuri imewaletea maendeleo. Tatizo lenu mnasema mambo kwa kukariri bila kufikiria!Katiba Mpya Ndio suluhisho la Kuwakwamua Watanzaniatoka Huo Umasikini Uliosababishwa na CCM. Maana hii Katiba tuliyonayo Siyo Fair. Hii Katiba ni Sawa na Kusema Tanzania na Watanzania ni Mali ya CCM. However, CHADEMA Haina Mbuge wa Viti Maalum, labda unazungumzia wale COVID-19 ambao Hawatokani na Chama Cha Siasa.
Umesema mbunge wa chama gani vile? Maana hao wabunge wa Ndugwai umewageuza wa CDM?Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato.
Chanzo: Radio One
----
Ndugu zangu,
Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.
Hii hoja inanikumbusha this short story: A fisherman after fishing all the morning and catching nothing decided to look for a shade on land and sit in an oscillating chair, rest, smoke his cigar and wait until another time he believed he would catch something. An industrialist happened to be passing near him and said, "Hey! What a hell are you doing this morning to sit idle in your oscillating chair and doing nothing?" The fisherman asked him in reply, "What do you think I should be doing?" The industrialist replied, "You should be fishing if you want to earn money." "And then?" asked the fisherman. "You could get some fish to use home and sell the rest and get some money," he replied? "And then?" The fisherman asked further. "You could build a good house, marry a beautiful woman and enjoy life," he replied. The fisherman asked him, "What do you think I'm doing (as he was resting and enjoying life)?"Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato.
Chanzo: Radio One
----
Ndugu zangu,
Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.
Chanjo ni muhimu sana tena sana!!Utachanjwa?