Mbunge CHADEMA: BAVICHA waache mihemko ya kisiasa, wabuni mambo ya kuwakwamua kwenye umasikini

Mbunge CHADEMA: BAVICHA waache mihemko ya kisiasa, wabuni mambo ya kuwakwamua kwenye umasikini

Katoa ushauri mzuri ila mibavicha ilivyo mivivu itakwambia inasubiri Lisu awe rais ndio aje awape maisha
 
Wanadai Tu katiba katiba lakini Hawafafanui kwenye katiba Faida za kiuchumi ni zipi kwa Wananchi...Hiyo Katiba Wao wanalenga eneo moja tu Tume huru..My friend Tume huru hata Zanzibari walikua nayo Jecha akafanya yake....

Nyie hamjui hata katiba Mpewe bado mna safari ndefu Kujijenga kwanza Kiuchumi Chadema pale mwenye nguvu ya uchumi ni Mbowe tu..Wengine wote hawana na hapa Afrika Ni ngumu Kufanya siasa ukiwa na Njaa...

Ina maana bila Mbowe Chadema Itakua Na Mkiti yeyote ambaye aweza kuhamia CCM.

Njaa mbaya...jijengeni kiuchumi..Imarisheni maofisi na vitendew kazi hata Jengo la Makao makuu nyie hamna hata ukumbi wa Kukaa watu 50 tu hamna..mnataka nchi duh
 
Haahaa huyu mbunge wa kitu Cha ndugai eeh, Ni sawa na kuwashauri vijana wa kikatoliki waachane na Mambo ya dini washughulike na kujikwamua kimaaisha.Anyway mtazamo wake huo ingawa siungi mkono
 
Haahaa huyu mbunge wa kitu Cha ndugai eeh. Ni sawa na kuwashauri vijana wa kikatoliki waachane na Mambo ya dini washughulike na kujikwamua kimaaisha. Anyway mtazamo wake huo ingawa siungi mkono
 
Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato.

Chanzo: Radio One

----
Ndugu zangu,

Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.
Ninachojua huyu mbunge ni miongoni mwa COVID-19. Hivi siku hizi Covid-19 ina sauti ya kushauri kitu?
 
Kongole mh.Conchester Lwamlaza👊👍👍

BAVICHA wao kutwa na kutaka maandamano tu.....

Hawa BAVICHA kazi zao ni matamko makali na maandamano.....hawa jamaa wanapenda SHARI NA KUTAKA VURUGU TU.....
Kwani huyo mbunge ulipomuuliza alisema anawakilisha chama gani? Isije ikawa COVID-19 ya Ndugai kuwaapisha vichochoroni
 
Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato.

Chanzo: Radio One

----
Ndugu zangu,

Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.
Kama alivyochangamkia ofa ya Ndugai na Mwendazake kupitia covid-19 na kuapisha chap chap vichochoroni
 
Katiba Mpya Ndio suluhisho la Kuwakwamua Watanzaniatoka Huo Umasikini Uliosababishwa na CCM. Maana hii Katiba tuliyonayo Siyo Fair. Hii Katiba ni Sawa na Kusema Tanzania na Watanzania ni Mali ya CCM. However, CHADEMA Haina Mbuge wa Viti Maalum, labda unazungumzia wale COVID-19 ambao Hawatokani na Chama Cha Siasa.
Inasemekana Kenya wana moja ya katiba bora sana hapa Africa, lakini ebu nenda huko Pokot ukaone maisha ya wapokot na wakaramajong kama hiyo katiba nzuri imewaletea maendeleo. Tatizo lenu mnasema mambo kwa kukariri bila kufikiria!
 
CCM wanahaha kila kona kulidhoofisha wimbi la katiba mpya...

Kwa taarifa yetu tu ni kwamba hamtaweza..watanzania wapo tayari kwa lolote.
 
Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato.

Chanzo: Radio One

----
Ndugu zangu,

Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.
Umesema mbunge wa chama gani vile? Maana hao wabunge wa Ndugwai umewageuza wa CDM?
 
Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Conchester Lwamlaza awataka vijana ambao ni wafuasi wa CHADEMA kuacha mihemuko ya kisiasa kwa sasa badala yake wabuni mambo yatakayowapa nafasi ya kuchangamkia fursa zinazotolewa zenye lengo la kuwakwamua kwenye wimbi la umaskini wa kipato.

Chanzo: Radio One

----
Ndugu zangu,

Watu makini ndani ya Chadema sasa wanaona na wanashauri vijana mfano wa Chadema wajikite kwenye shughuli za kuwaletea vipato badala ya mihemko.
Hii hoja inanikumbusha this short story: A fisherman after fishing all the morning and catching nothing decided to look for a shade on land and sit in an oscillating chair, rest, smoke his cigar and wait until another time he believed he would catch something. An industrialist happened to be passing near him and said, "Hey! What a hell are you doing this morning to sit idle in your oscillating chair and doing nothing?" The fisherman asked him in reply, "What do you think I should be doing?" The industrialist replied, "You should be fishing if you want to earn money." "And then?" asked the fisherman. "You could get some fish to use home and sell the rest and get some money," he replied? "And then?" The fisherman asked further. "You could build a good house, marry a beautiful woman and enjoy life," he replied. The fisherman asked him, "What do you think I'm doing (as he was resting and enjoying life)?"
 
Back
Top Bottom