PreGE2025 Mbunge Charles Kimei agawa miavuli wajasiriamali wanawake 300 yenye picha yake na Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, ameendelea kuonesha moyo wa uwajibikaji na kujali ustawi wa wananchi wake kwa kuwawezesha wajasiriamali wanawake 300 wa Kata ya Njiapanda, Mji Mdogo wa Himo, kwa kuwapatia miavuli maalum itakayowalinda dhidi ya mvua na jua. Hatua hiyo imelenga kuwawezesha kufanya shughuli zao za kila siku kwa utulivu na ufanisi zaidi. Zoezi hili litawanufaisha wajasiriamali 2000 Jimboni humo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Katika tukio hilo lililojawa na hisia, wajasiriamali hao walionesha upendo na shukrani kwa Mbunge wao kwa kumchangia kiasi cha shilingi 260,000 ikiwa ni mchango wa hiari kwa ajili ya kumuwezesha kuchukua fomu ya kuomba uteuzi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) atapojitokeza tena kugombea. Kitendo hicho ni kielelezo tosha cha imani kubwa waliyonayo kwake kutokana na kazi nzuri anayoendelea kuifanya kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wa Vunjo.

Yes wajinga wape vitu kama hivyo,
 
Ameanza kampeni sio?
 
Jamaa alifanya vizuri crdb watu wakawa wanasema huku anaweza kuchukua hata uwaziri wa fedha kumbe hamna kitu..
Wenye Bank zao wako stricted sana huwezi ukafanya upuuzi wakakuvumilia thus why ni simple kufanikiwa kwenye hizi organisation zinazomilikiwa na weupe
 
Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, ameendelea kuonesha moyo wa uwajibikaji na kujali ustawi wa wananchi wake kwa kuwawezesha wajasiriamali wanawake 300 wa Kata ya Njiapanda, Mji Mdogo wa Himo, kwa kuwapatia miavuli maalum itakayowalinda dhidi ya mvua na jua. Hatua hiyo imelenga kuwawezesha kufanya shughuli zao za kila siku kwa utulivu na ufanisi zaidi. Zoezi hili litawanufaisha wajasiriamali 2000 Jimboni humo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Katika tukio hilo lililojawa na hisia, wajasiriamali hao walionesha upendo na shukrani kwa Mbunge wao kwa kumchangia kiasi cha shilingi 260,000 ikiwa ni mchango wa hiari kwa ajili ya kumuwezesha kuchukua fomu ya kuomba uteuzi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) atapojitokeza tena kugombea. Kitendo hicho ni kielelezo tosha cha imani kubwa waliyonayo kwake kutokana na kazi nzuri anayoendelea kuifanya kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wa Vunjo.

Mambumbumbu wanazidi kuongezeka siku baada ya siku
 
Huyu siyo yule walimzomea tu juzi jimboni kwake akatetewa na kiongozi gani sijui nimesahau kidogo.
Haya leo miamvuli imefanya kazi yake 😭
 
Apishe wengine nao waje watumikie hilo jimbo.
Yaani ukirugenzi haukuntosha, anakaba kila mahala ?!
 
Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, ameendelea kuonesha moyo wa uwajibikaji na kujali ustawi wa wananchi wake kwa kuwawezesha wajasiriamali wanawake 300 wa Kata ya Njiapanda, Mji Mdogo wa Himo, kwa kuwapatia miavuli maalum itakayowalinda dhidi ya mvua na jua. Hatua hiyo imelenga kuwawezesha kufanya shughuli zao za kila siku kwa utulivu na ufanisi zaidi. Zoezi hili litawanufaisha wajasiriamali 2000 Jimboni humo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Katika tukio hilo lililojawa na hisia, wajasiriamali hao walionesha upendo na shukrani kwa Mbunge wao kwa kumchangia kiasi cha shilingi 260,000 ikiwa ni mchango wa hiari kwa ajili ya kumuwezesha kuchukua fomu ya kuomba uteuzi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) atapojitokeza tena kugombea. Kitendo hicho ni kielelezo tosha cha imani kubwa waliyonayo kwake kutokana na kazi nzuri anayoendelea kuifanya kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wa Vunjo.

kwahiyo kimei kaacha kuvaa blue suit anavaa shati la kijani na njano
 
Back
Top Bottom