Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Yes wajinga wape vitu kama hivyo,Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, ameendelea kuonesha moyo wa uwajibikaji na kujali ustawi wa wananchi wake kwa kuwawezesha wajasiriamali wanawake 300 wa Kata ya Njiapanda, Mji Mdogo wa Himo, kwa kuwapatia miavuli maalum itakayowalinda dhidi ya mvua na jua. Hatua hiyo imelenga kuwawezesha kufanya shughuli zao za kila siku kwa utulivu na ufanisi zaidi. Zoezi hili litawanufaisha wajasiriamali 2000 Jimboni humo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika tukio hilo lililojawa na hisia, wajasiriamali hao walionesha upendo na shukrani kwa Mbunge wao kwa kumchangia kiasi cha shilingi 260,000 ikiwa ni mchango wa hiari kwa ajili ya kumuwezesha kuchukua fomu ya kuomba uteuzi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) atapojitokeza tena kugombea. Kitendo hicho ni kielelezo tosha cha imani kubwa waliyonayo kwake kutokana na kazi nzuri anayoendelea kuifanya kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wa Vunjo.
Afu we mwanaCCM siku hizi umekuwa mpinzani 😀😀Hii nchi tumelaaniwa mamaae
Watanzania ni wafu wanaotembea
CCM ni CCM .Jamaa alifanya vizuri crdb watu wakawa wanasema huku anaweza kuchukua hata uwaziri wa fedha kumbe hamna kitu..
Mm sio ccm wala sio chadema wala sijawahi kuwa shabiki wa chama Chcht kile mana naona wote wapumbavu tuuAfu we mwanaCCM siku hizi umekuwa mpinzani 😀😀
Ameanza kampeni sio?Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, ameendelea kuonesha moyo wa uwajibikaji na kujali ustawi wa wananchi wake kwa kuwawezesha wajasiriamali wanawake 300 wa Kata ya Njiapanda, Mji Mdogo wa Himo, kwa kuwapatia miavuli maalum itakayowalinda dhidi ya mvua na jua. Hatua hiyo imelenga kuwawezesha kufanya shughuli zao za kila siku kwa utulivu na ufanisi zaidi. Zoezi hili litawanufaisha wajasiriamali 2000 Jimboni humo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika tukio hilo lililojawa na hisia, wajasiriamali hao walionesha upendo na shukrani kwa Mbunge wao kwa kumchangia kiasi cha shilingi 260,000 ikiwa ni mchango wa hiari kwa ajili ya kumuwezesha kuchukua fomu ya kuomba uteuzi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) atapojitokeza tena kugombea. Kitendo hicho ni kielelezo tosha cha imani kubwa waliyonayo kwake kutokana na kazi nzuri anayoendelea kuifanya kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wa Vunjo.
Wenye Bank zao wako stricted sana huwezi ukafanya upuuzi wakakuvumilia thus why ni simple kufanikiwa kwenye hizi organisation zinazomilikiwa na weupeJamaa alifanya vizuri crdb watu wakawa wanasema huku anaweza kuchukua hata uwaziri wa fedha kumbe hamna kitu..
Mambumbumbu wanazidi kuongezeka siku baada ya sikuMbunge wa Jimbo la Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, ameendelea kuonesha moyo wa uwajibikaji na kujali ustawi wa wananchi wake kwa kuwawezesha wajasiriamali wanawake 300 wa Kata ya Njiapanda, Mji Mdogo wa Himo, kwa kuwapatia miavuli maalum itakayowalinda dhidi ya mvua na jua. Hatua hiyo imelenga kuwawezesha kufanya shughuli zao za kila siku kwa utulivu na ufanisi zaidi. Zoezi hili litawanufaisha wajasiriamali 2000 Jimboni humo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika tukio hilo lililojawa na hisia, wajasiriamali hao walionesha upendo na shukrani kwa Mbunge wao kwa kumchangia kiasi cha shilingi 260,000 ikiwa ni mchango wa hiari kwa ajili ya kumuwezesha kuchukua fomu ya kuomba uteuzi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) atapojitokeza tena kugombea. Kitendo hicho ni kielelezo tosha cha imani kubwa waliyonayo kwake kutokana na kazi nzuri anayoendelea kuifanya kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wa Vunjo.
kwahiyo kimei kaacha kuvaa blue suit anavaa shati la kijani na njanoMbunge wa Jimbo la Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, ameendelea kuonesha moyo wa uwajibikaji na kujali ustawi wa wananchi wake kwa kuwawezesha wajasiriamali wanawake 300 wa Kata ya Njiapanda, Mji Mdogo wa Himo, kwa kuwapatia miavuli maalum itakayowalinda dhidi ya mvua na jua. Hatua hiyo imelenga kuwawezesha kufanya shughuli zao za kila siku kwa utulivu na ufanisi zaidi. Zoezi hili litawanufaisha wajasiriamali 2000 Jimboni humo.