Ukitoa kundi la wajinga ( ambalo hawajielewi Bendera Fuata upepo ) na la wenye udini wachache na wala sio wote hao walobaki huenda ni sababu ya unifaika wao au matatajio ya kupewa manufaa ??!
Wengine wanasifu na kuabudu ili waje kukumbukwa kwenye kuta za maoni wapitishwe, teuzi mbalimbali , tender mbalimbali mirija ??! 🤔🤔🤔