Mbunge Charles Njagua(Jaguar) amekamatwa akiwa eneo la Bunge kwa madai ya vitisho dhidi ya wafanyabiashara wa kigeni

Kukamatwa na kwenda kuhojiwa ni hatua za Serikali ya Kenya kuonesha imekwazika na kauli za mbunge huyu Jaguar.

Hapa wafanyabiashara wakubwa wa Kenya pia wametahamaki na matamshi ya huyu mbunge wa Starehe, Bw. Charles Njagua.

Maana kauli za mbunge huyo kama vurugu zingetokea zingeweza kutibua / kuathiri masoko ya wafanyabiashara wakubwa waKenya zilizopo Tanzania.

Wafanyabiashara Hawkers / machinga siku zote hawawezi kusikilizwa kwa uzito uleule na serikali kama wafanyabiashara wakubwa. Hilo Charles Kanyi Njagua alikuwa halifahamu wakati anafurahisha genge mitaa ya raia wanyonge.

 
Polisi jifunzeni kwa wakenya,msimlee MUSIBA,huyo mpuuzi musiba kuna siku atakuja kuropoka kama JAGUAR na kuleta taharuki,nawaomba polisi muanze kumchukulia hatua za kisheria kwa maneno yake ya uchochezi kabla ajaharibu hali ya hewa kimataifa.
Wamkamate Musiba hawajipendi,huyo anaruhusiwa kusema lolote katika nchi hii.
 
Lusinde alisema na yeye j3 ana mkutano ataamrisha wananchi wakawabonde wakenya walioko Bongo.
Inabidi uchaguzi ujao na sisi tuhakikishe Afande Sele anaingia Mjengoni, mambo kama haya ilitakiwa ajibiwe na Afande.
 
Afadhali maana kauli yake ingetafusirika kama ni kauli ya wakenya wote kumbe ni mpumbavu mmoja
 
wakenya ni wabinafsi sana hizi kauli zao zitawatokea puani soon.
 
mimi nilishangaa wale wamama na wababa pale nyuma wakishangilia nikajua doh,kumbe kenya bado kazi ipo.
 
AT LEAST ... HE IS TO BE CHARGED
 
I like the way Danganyikans watch our TV channels with a lot of Gusto,It feels like a CNN<BBC<Al Jazeera to them,Thankyou that means business to us.
 
wakenya ni wabinafsi sana hizi kauli zao zitawatokea puani soon.

Tihahaha,Midanganyika kumbe mko delicate namna hii.wanaume nchi nzima wamelia tu kama mabinti just because of one mad man who sneezed.
 
[emoji53] Hata muongee sana juwa Jaguar ameongea sentiments za wakenya wengi,Ni venye Government inajifanya tu but ina support remarks zake,hakuna penye Jaguar atapelekwa,Wakenya wamechoka na Foreigners Wenye su Whites hio ni Fact na hata Watanzania wasipo fukuzwa Sahi,kesho ama kesho kutwa tutawafukuza tu[emoji12] [emoji16] What happened ni kuonyesha wakenya wako na feelings lakini wamekanyagia
 
Vile Jaguar imefanya ilipaswa kesho Kule kwa Mafarao tufanye japo jambo flani kubwa mno....lakini sasa.
Alisikika mlevi mmoja. 😁
 
Hahaha nilikuwa shabiki wa nyimbo zake mkubwa sana hasa ngoma yake ya kigeugeu

Aisee kumbe ndiyo yule mwanamziki?.

Iweje amejikuta anatumia ulimi wake vibaya vile wakati nyimbo zake zilikuwa ni burudani na kufundisha jamii kubwa vile?

Ama kweli ulimi ni kiungo kidogo sana, lakini ukiutumia vibaya tu, unaweza kuwasha moto mkubwa wa kiasi cha kuteketeza msitu wote wa Amazon!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…