Are you a Kenyan?
This type of writing is typical Kenya style!!
Hata hivyo, fuateni na kuzingatia sheria za nchi yenu...
Kama watu wako na wanafanya kazi kihalali na hawajakiuka sheria yoyote ya nchi yenu, kwa nini mnang'aka hivyo?
No, that's wrong. Hata huku Tanzania wakenya wako wengi sana.
So long as wako kihalali (isipokuwa wale waliokuja kwa njia za panya), sisi hatuna tatizo nao....
Lakini kama mmeanzisha vita ya namna hiyo, maana yake mnawaambia watanzania nao waanze kula sahani moja na wakenya wa huku TZ kwa kuwanyanyapaa kama mnavyoanza kufanya ninyi huko.....
Do you want to go there???