Mbunge Charles Njagua(Jaguar) amekamatwa akiwa eneo la Bunge kwa madai ya vitisho dhidi ya wafanyabiashara wa kigeni

Mbunge Charles Njagua(Jaguar) amekamatwa akiwa eneo la Bunge kwa madai ya vitisho dhidi ya wafanyabiashara wa kigeni

Are you a Kenyan?

This type of writing is typical Kenya style!!

Hata hivyo, fuateni na kuzingatia sheria za nchi yenu...

Kama watu wako na wanafanya kazi kihalali na hawajakiuka sheria yoyote ya nchi yenu, kwa nini mnang'aka hivyo?

No, that's wrong. Hata huku Tanzania wakenya wako wengi sana.

So long as wako kihalali (isipokuwa wale waliokuja kwa njia za panya), sisi hatuna tatizo nao....

Lakini kama mmeanzisha vita ya namna hiyo, maana yake mnawaambia watanzania nao waanze kula sahani moja na wakenya wa huku TZ kwa kuwanyanyapaa kama mnavyoanza kufanya ninyi huko.....

Do you want to go there???
True100 bub lemmy keep 100 with you,mi sina shda na Tz kuja kuduu job huku,Coz at the end of the day wana hustle and we neighbours buh hao Pakistan,Chinese wote waende
 
Matatizo ya nchi yoyote hayawezi kwisha kwa kufukuza wageni.
 
Kenya ni nchi ya sheria they take you before law enforcers unlike Tanzania where Tundu Lissu was shot an seriously injured by lawless goons for speaking out.They never punished the wakoras behind the attack.
 
Back
Top Bottom