Mbunge Charles Njagua(Jaguar) amekamatwa akiwa eneo la Bunge kwa madai ya vitisho dhidi ya wafanyabiashara wa kigeni

Mbunge Charles Njagua(Jaguar) amekamatwa akiwa eneo la Bunge kwa madai ya vitisho dhidi ya wafanyabiashara wa kigeni

Alijitabiria kabisa kuna mstari unasema
" Mwanasiasa aliniomba kura baada ya miaia tano anarudi na kitambi bila kutimiza"
Chorus "Nikihaso juu juu chini ili nivuke boda wananigeukia"

Aisee yaani kaanguka hukohuko.

Halafu jimbo lake linaitwa Starehe, halafu yeye ni mwanamziki
 
Akiwa viwanja wa Bunge nchini Kenya mbunge wa Jimbo ya Starehe Charles Njagua maarufu Kama Jaguar amekamatwa na jeshi la polisi nchini humu

Stareherles Njagua Kanyi has been arrested following xenophobic statements he made against foreigners doing business in Kenya.
The MP was nabbed by DCI detectives on Wednesday, June 26, who pounced on him outside the National AssemblyView attachment 1138961
Aiseee afunguliwe mashataka ya uhaini huyo.
 
Viongozi wa Tanzania kila siku wanatukana wazungu na kuwaita mabeberu lakini hawajawahi hata kuhojiwa , baada ya hapo wanaitwa wazalendo !
 
Viongozi wa Tanzania kila siku wanatukana wazungu na kuwaita mabeberu lakini hawajawahi hata kuhojiwa .
Polisi jifunzeni kwa wakenya,msimlee MUSIBA,huyo mpuuzi musiba kuna siku atakuja kuropoka kama JAGUAR na kuleta taharuki,nawaomba polisi muanze kumchukulia hatua za kisheria kwa maneno yake ya uchochezi kabla ajaharibu hali ya hewa kimataifa.
 
Watz wasiende bana tunawapenda Dada zao, wako cheap and naive.
 
aisee jamani mbunge wanguuuuu.....naskia wameshamueka lock up!
 
Mbunge wa jimbo la starehe na mwanamuziki/msanii maarufiku Mh Charles Njagua maarufu kama 'Jaguar'amekamatwa na mamlaka za ulinzi nchini Kenya baada ya kutoa kauli za kibaguzi na kichochezi inayawataka wakenya wawafukuze na kuwapiga raia wa kigeni ikiwemo watanzania wanaotafuta maisha nchini Kenya,aidha serikali ya Kenya kupitia ubalozi wa Kenya nchini Tanzania umesema kauli ya Mbunge huyo sio msimamo wa serikali bali ni msimamo na maoni yake binafsi.aidha mamlaka nchini Kenya zimesema maneno ya kibaguzi na kichochwzi aliyasema Mbunge huyo ni kama yafuatayo"

Ikiwa unatathmini masoko yetu, Wauganda na Watanzania wamechukua biashara zetu … Sasa tunasema kutosha ni ya kutosha. Ikiwa mwisho wa saa 24 haitoshi kwa kuwafukuzwa, tutawaondoa na tutawapiga na hatuogopi mtu yeyote, “alisema jaguar.

CITIZEN TV Kenya
 
Weka picha tafadhari
June 26, 2019
Nairobi, Kenya
Mbunge wa Starehe atiwa mbaroni
Jaguar amekamatwa katika majengo ya bunge jijini Nairobi kufuatia matamshi ya chuki dhidi ya raia wa kigeni wanaofanya biashara humu nchini. Baada ya kutiwa pingu Charles Njagua Kanyi Jaguar aliingizwa ktk gari la makachero wa DCI na kupelekwa Kiambu road, ofisi kuu ya DCI kuandikisha maelezo
 
Back
Top Bottom