Mbunge Charles Njagua(Jaguar) amekamatwa akiwa eneo la Bunge kwa madai ya vitisho dhidi ya wafanyabiashara wa kigeni

[emoji53] Hata muongee sana juwa Jaguar ameongea sentiments za wakenya wengi,Ni venye Government inajifanya tu but ina support remarks zake,hakuna penye Jaguar atapelekwa,Wakenya wamechoka na Foreigners Wenye su Whites hio ni Fact na hata Watanzania wasipo fukuzwa Sahi,kesho ama kesho kutwa tutawafukuza tu[emoji12] [emoji16] What happened ni kuonyesha wakenya wako na feelings lakini wamekanyagia

huyu boya analeta mambo ya xenophobia east africa, wakenya wanaakili hawatafuata kauli zake.
 
Kenyan MP Arrested for Xenophobic Attack Against Tanzanians & Ugandans
 
By the way jamaa hata sio mkenya kiasili.Any way nimependa namna Tz walivyo handle the matter .inazid kunishawish kuwa bado bongo ina power kubwa sana ya ushawish ukanda huu..
 
[emoji53] Hata muongee sana juwa Jaguar ameongea sentiments za wakenya wengi,Ni venye Government inajifanya tu but ina support remarks zake,hakuna penye Jaguar atapelekwa,Wakenya wamechoka na Foreigners Wenye su Whites hio ni Fact na hata Watanzania wasipo fukuzwa Sahi,kesho ama kesho kutwa tutawafukuza tu[emoji12] [emoji16] What happened ni kuonyesha wakenya wako na feelings lakini wamekanyagia

Are you a Kenyan?

This type of writing is typical Kenya style!!

Hata hivyo, fuateni na kuzingatia sheria za nchi yenu...

Kama watu wako na wanafanya kazi kihalali na hawajakiuka sheria yoyote ya nchi yenu, kwa nini mnang'aka hivyo?

No, that's wrong. Hata huku Tanzania wakenya wako wengi sana.

So long as wako kihalali (isipokuwa wale waliokuja kwa njia za panya), sisi hatuna tatizo nao....

Lakini kama mmeanzisha vita ya namna hiyo, maana yake mnawaambia watanzania nao waanze kula sahani moja na wakenya wa huku TZ kwa kuwanyanyapaa kama mnavyoanza kufanya ninyi huko.....

Do you want to go there???
 
I like the way Danganyikans watch our TV channels with a lot of Gusto,It feels like a CNN<BBC<Al Jazeera to them,Thankyou that means business to us.
Nyang'au ni Nyang'au tu,ukabila ubaguzi ndio jadi yenu
 
Ni watu wachache sana ambao humaliza muda wao wa siasa bila bongo zao kuathirika
 
Viongozi wa Tanzania kila siku wanatukana wazungu na kuwaita mabeberu lakini hawajawahi hata kuhojiwa , baada ya hapo wanaitwa wazalendo !
Unazungumziaje kauli za Mbunge Charles Njaguar wa kenya dhidi ya raia wa kigeni !?
 
[emoji53] Hata muongee sana juwa Jaguar ameongea sentiments za wakenya wengi,Ni venye Government inajifanya tu but ina support remarks zake,hakuna penye Jaguar atapelekwa,Wakenya wamechoka na Foreigners Wenye su Whites hio ni Fact na hata Watanzania wasipo fukuzwa Sahi,kesho ama kesho kutwa tutawafukuza tu[emoji12] [emoji16] What happened ni kuonyesha wakenya wako na feelings lakini wamekanyagia
Nyie si mnasemaga watz wavivu tumelala iwaje MTU mvivu achukue biashara ya mchapakazi ???
Oohh Kenya wachapakaz haya pambaneni na ushindani huo wa wavivu
 
Et ameongea kwa niaba ya kenya .kwan wakenya hawapo tz .mtakufa kwa njaa kenge nyie
 
Leo mechi Kati ya Tanzania vs Kenya.
Tabiri nani atashinda?
 
Nyie si mnasemaga watz wavivu tumelala iwaje MTU mvivu achukue biashara ya mchapakazi ???
Oohh Kenya wachapakaz haya pambaneni na ushindani huo wa wavivu
Haha you funny,hakna kazi mumechukua,nigga mnauza kdfs na Nguo na njugu[emoji53] So Kazi gani hpo mmechukua?Hakna kazi za maana mnafanya Kenya bro
 
Back
Top Bottom