Mbunge Chato: Tunaomba ndege chache zilizopo ziwe zinatua Chato hata kama ni mara moja kwa wiki

😯 unasemaje?! Daraja la Busisi halina maana hivi una wazimu?!

Ule uwanja wa ndege ndio ulikuwa hauna naana sio Dalaja.
Hata Hilo daraja halina ukifanya cost-benefit analysis na kujenga Barabara za km 500 hapo Mwanza.
 
mbunge anasema abiria wapo ndege ndio hazipo
wewe unasema eti kuna abiria wawili
unamiliki airline gani kwanza?
Wewe tuliza mshono....

Kama abiria wapo angeomba hata mara Moja kwa wiki ?
Sasa mnataka ATCL iruke huko kijijini Kila siku, halafu CAG akija na ripoti ya hasara ya billioni 59 kwa mwaka kwa kuruka na abiria hewa Chato muanze kulaumu ?
 
Hata Hilo daraja halina ukifanya cost-benefit analysis na kujenga Barabara za km 500 hapo Mwanza.
Kipaumbele cha Daraja ni muhimu sana hizo ferry zipelekwe sehemu nyingine

Mkoa wa Mwanza unabarabara nyingi za llami.
 
Ziende kumpeleka au kumchukua nani?
 
Kwa sababu ni 2025 zitaanza kwenda hata kama hazina abiria 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yule chizi jiwe alikuwa mpuuzi
 
Aisehee...ila wabunge wetu awaa...ndege haziendi chato sababu kubwa hakuna wateja..
 
Au upewe jeshi. Kwani Jeshi Lina viwanja vingapi vya ndege? Na huo uwe mmojawapo?
Wajenge na kambi ndogo ya Jeshi la anga hapo... Maana ishakuwa ishakuwa.....
By the way hivi Jeshi haliwezi kufanya biashara ya kusafirisha abiria kwa kutumia ndege ndogo. Just asking. Am ignorant in that part.
 
Ndege ni biashara, hao wanaokula nchima bhoyo na ndege wapi na wapi?!
 
Kweli kila zama na kitabu chake jamaa alikuwa. Jamaa kutoka kuwa waziri wa nishati hadi kuanza kulialia. Kweli heshimu watu, zama hupita!!
 
Ok tusubiri CAG aseme hasara sasa. Ndo wimbo tuliouzoea. Kumbe hasara zinatengenezwa kizembe hivo!
 
Mi naona Airport ilitakiwa kuwepo katoro au geita kutokana na aina ya watu wanao ishi maeneo hayo.wengi wao wanajiweza kuliko kule chato ni mbali na watu sio wengi sana.
 
Q400 au Dash 8 ziko wapi?

Katoro, Biharamuro, Lunzewe, Nyakanazi, Ushirombo hata Geita wanaweza kuutumia huo uwanja kufika Dar, Mbeya, SA, China, nk.

Mikoa yoote na wilaya zote zilizochangamka zilipaswa kuwa na viwanja na AirTanzania inaweza kupeleka ndege ndogo kama Q400.
Tatizo tunataka kufanya usafiri wa ndege big deal sana wakati ni usafiri wa kawaida tu.
 
Tukiweka siasa kando ukweli ni kuwa

Miradi mingi sana imejengwa kisiasa bila kuzingatia thamani ya pesa

Fatilia stendi, Masoko yote utalielewa

Fatilia JNIA utaelewa, kisha miaka 5 ijayo utanielewa kuhusu Msalato
Tatizo ni akili.Mwanza inakabiliwa na shida kubwa ya Barabara harafu inajenga kadaraja Ili eti ionekane umefanya sijui kitu gani
 
Ndege huan

Hayo maeneo hakuna wanaoweza jaza ndege hata ikienda kwa 1 wiki
 
 

Attachments

  • IMG-20250115-WA0008.jpg
    77.1 KB · Views: 1
Tukiweka siasa kando ukweli ni kuwa

Miradi mingi sana imejengwa kisiasa bila kuzingatia thamani ya pesa

Fatilia stendi, Masoko yote utalielewa

Fatilia JNIA utaelewa, kisha miaka 5 ijayo utanielewa kuhusu Msalato
Wala kuzingatia uwezo wa Uchumi wetu na Tija Kwa wakati hii na mda wa kati.

Vietnam ambayo Ina Uchumi mkubwa mara 6 ya Tanzania na watu wengi kushinda sisi ndio inajipanga kujenga Sgr,Sasa Tanzania na ufukara wake huu hizo Sgr na mamiradi mengine ya maonesho Yana faida ipi zaidi ya kuzidi kuleta hasara?
 
SGR ilipaswa ishia Dodoma tu, Marehemu akaona isiwe kesi akaruka akaanzia Mwanza ili lolote lile lazima imalizike.
Sasa twaipeleka Burundi kwa masikini ambao kwa mwaka makontena hata 10000 hayafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…