brokenagges
Member
- Sep 29, 2022
- 58
- 33
biashara ya usafiri inahitaji sana zaidi wanaohitaji kusafiri kutoka eneo husika hii ni biashara na siyo siasa huwezi wasafirisha wenyeji/wakaazi wa chato kwenda sehemu ambako hawana mpango wa kwenda japo wangefurahia sana kupanda ndege kama watapata mfadhili wa kuwalipia nauli.