ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kwani nimeshikilia ngazi gani Hadi niiachie?Siku ya Mwisho kila goti litapigwa, hata wewe umeachia ngazi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nimeshikilia ngazi gani Hadi niiachie?Siku ya Mwisho kila goti litapigwa, hata wewe umeachia ngazi!
mbunge anasema abiria wapo ndege ndio hazipoSasa ndege ziende na watu wawili ?
Kweli bhana! Nimeshangaa sana! Hakika kila lenye mwanzo halikosi mwishoKwani nimeshikilia ngazi gani Hadi niiachie?
Mpumbavu kweliDaraja halina maana yeyote hata lisingejengwa.
Wewe ndio mpumbavu Kwa sababu huna akiliMpumbavu kweli
Ile ni pride tu ila hizo pesa angezitumia kujenga barabara za huko huko Lake Zone.Wewe ndio mpumbavu Kwa sababu huna akili
Wewe unadhani kutumia Bilioni 720 kujenga kivuko (daraja) vs kutumia hizo hizo kujenga Barabara ya km 500 kipi kilitakiwa kianze na Cha muhimu zaidi?
Huna akili.
Tatizo ni akili.Mwanza inakabiliwa na shida kubwa ya Barabara harafu inajenga kadaraja Ili eti ionekane umefanya sijui kitu ganiIle ni pride tu ila hizo pesa angezitumia kujenga barabara za huko huko Lake Zone.
Hata kwenye Umeme na Reli kuna makosa yalifanyika mengi
Kabisa,tulisema sana kuhusu huo Uwanja wa Ndege angalao ujengwe Shinyanga.Tuliposema ujenzi wa uwanja ule ulikuwa ni ubadhirifu kuna watu walituita wachochezi
Kama ule uwanja wa ndege wa Gbadolite wa Dikteta Mobutu Sese Seko Kuku Ngwendu wa Zabanga.Hawa wamezoea kutafuna hela za umma.
Wala haoni tatizo ndege ikiruka na kutua bila abiria
Ndio sifa za yule jamaa hizi
Unaweka traffic light wanakatisha punda
Hakika!Daraja halina maana yeyote hata lisingejengwa.
Aisee haswa, yaani utaona nyani ndio wamefanya makazi huko.Kama ule uwanja wa ndege wa Gbadolite wa Dikteta Mobutu Sese Seko Kuku Ngwendu wa Zabanga.
Nyasi zimeota nyoka wanaota jua.
😯 unasemaje?! Daraja la Busisi halina maana hivi una wazimu?!Daraja halina maana yeyote hata lisingejengwa.