Mbunge Chato: Tunaomba ndege chache zilizopo ziwe zinatua Chato hata kama ni mara moja kwa wiki

Mbunge Chato: Tunaomba ndege chache zilizopo ziwe zinatua Chato hata kama ni mara moja kwa wiki

Mpumbavu kweli
Wewe ndio mpumbavu Kwa sababu huna akili

Wewe unadhani kutumia Bilioni 720 kujenga kivuko (daraja) vs kutumia hizo hizo kujenga Barabara ya km 500 kipi kilitakiwa kianze na Cha muhimu zaidi?

Huna akili.
 
Maamuzi mengi huwa kisiasa kuliko uhalisia


Kaangalieni Stendi zote zilizojengwa ni magofu, ukienda pale Dodoma hadi huruma.
 
Wewe ndio mpumbavu Kwa sababu huna akili

Wewe unadhani kutumia Bilioni 720 kujenga kivuko (daraja) vs kutumia hizo hizo kujenga Barabara ya km 500 kipi kilitakiwa kianze na Cha muhimu zaidi?

Huna akili.
Ile ni pride tu ila hizo pesa angezitumia kujenga barabara za huko huko Lake Zone.

Hata kwenye Umeme na Reli kuna makosa yalifanyika mengi
 
Kalemani yupo sahihi abiria wanaoenda geita wapo nikiwa mmojawapo huwa napata shida kushukia mwanza, chato to geita ni karibu kuliko mwanza geita
 
Ile ni pride tu ila hizo pesa angezitumia kujenga barabara za huko huko Lake Zone.

Hata kwenye Umeme na Reli kuna makosa yalifanyika mengi
Tatizo ni akili.Mwanza inakabiliwa na shida kubwa ya Barabara harafu inajenga kadaraja Ili eti ionekane umefanya sijui kitu gani
 
Kuna mambo yanayoamuliwa hapa nyumbani yafanyike, ni kwa ajili ya familia yetu. Lakini angalizo kabla yakuamua tujiulize vipaumbele vyetu ni vipi? Je ni wakati sahihi? Tunafanya haya kwa mihemko au ni kwa manufaa ya wote?
Kila Siku wale jamaa wa ng'ambo wanavyotuangalia wanatuona kama watoto wakati mwingine...Planning ni muhimu lakini pia tufanye vitu kitaalam katika dunia ya leo. Kuanzisha biashara au mradi katika level ya Familia hii kubwa halafu mwisho wa siku tija yake inakuja kuoneka ni ndogo sanaaa kwa kweli si tuu unawaumiza wanafamilia lakini unaifanya familia idharaulike.
Haya tunarudi kule kule kuna wanafamilia ni wabobevu wa mipango mbalimbali, wataalamu wa biashara, wataalam wa mikakati katika maendeleo ya miji, vijiji, n.k.
Jamani umri wa hii familia ni mkubwa sanaa tufanye vitu kitaalam bila kujali huyu mtaalam amepinda put au anakengeza, mfupi, mweusi, ili mradi utaalam wake utaleta tija kwenye familia tumtumie kwa wakati huu ndiyo maana Mungu aliruhusu tumbo la mama yake limbebe miezi yote tisa na kuzaliwa kwenye makazi ya familia hii.
Hakuna mwanafamilia aliyepo hapa kihasarahasara.
 
Hawa wamezoea kutafuna hela za umma.

Wala haoni tatizo ndege ikiruka na kutua bila abiria
Ndio sifa za yule jamaa hizi
Unaweka traffic light wanakatisha punda
 
Kama ule uwanja wa ndege wa Gbadolite wa Dikteta Mobutu Sese Seko Kuku Ngwendu wa Zabanga.

Nyasi zimeota nyoka wanaota jua.
Aisee haswa, yaani utaona nyani ndio wamefanya makazi huko.
Inasikitisha sana akili za waafrika pindi wakiwa madarakani
Hebu fikiria huo mji wa Mobutu kwisha habari yake

Mwingine nae ni Bob Mugabe
Alituma jamaa yake mzungu kujenga Castle UK kwa thamani ya £41 million
Mpaka leo limetelekezwa na hakuna anaeishi na ni kubwa haswa

Sasa local residents wanalalamika kwa sababu pamekuwa sehemu ya kuuzia na kuvutia Unga na bangi kwa vijana
Hebu fikiria jengo limetupwa la mamilioni

Kuna watu wana laana mpaka walikoenda
Hili hapa jengo
Screenshot_20250305_131647_Google~2.png
 
Back
Top Bottom