Mbunge Cherehani: Tusiache Kumuombea Rais Samia

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Mbunge Cherehani: Tusiache Kumuombea Rais Samia

Mbunge wa jimbo la Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani amewahimiza waumini wa dini zote kuendelea kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt .Samia Suluhu Hassa ili kumpa nguvu zaidi katika kuwatumikia watanzania

Wito huo umetolewa katika misa takatifu ya mkesha wa sikukuu ya Krismas iliyofanyika katika kanisa la mtakatifu Yohane Parokia ya Mpunze ambapo amesema ,Rais anafanya kazi kubwa kwa wananchi hivyo ni vyema kumuombea

“Ndugu zangu nawaomba tuendelee kumuombea Rais wetu anafanya kazi kubwa ya kuijenha nchi yeti,tazamq fedha nyingi anazotoa kwenye Afya,Maji,Elimu na Barabara na Fedha nyingi kwaajili ya kukamilisha miradi ya maendeleo.” - Mhe Cherehani
 

Attachments

  • GCMWAYFXgAAN3U8.jpg
    101.5 KB · Views: 4
  • GCMWBYRX0AAksqP.jpg
    105.3 KB · Views: 4
  • GCMWBboWgAARByP.jpg
    100.5 KB · Views: 5
  • GCMWBYRWEAApR83.jpg
    104.7 KB · Views: 8
  • GCMWAX-WcAAH6AD.jpg
    162.8 KB · Views: 4
  • GCMWAYDWMAATN8M.jpg
    89.5 KB · Views: 5
Mkuu huyo mbunge ana lake jambo, Magufuli aliomba kuombewa, kila mtu na Mungu wake, maombi yakasikika! Jamaa akapandishwa cheo cha malaika msimamizi!
 
Huyo ccm wengi mna tatizo la afya ya akili
 
Mimi nafikiri kila mtu ajiombee tu mwenyewe. Haya mambo ya kuanza kuombeana, ni kujipendekeza tu wakati mwingine.
 
Hili libunge ni jinga sana, linaungana na wahuni kuubia wakulima, yaani Kwndikwa alikuwa best, na mipiga kura ya huko sijui waliwezaje kuchagua jitu jizi, huni, halina akili, halina hekima, chawi, naamini CCM 2025 hawatafanya kosa kulirudisha hili jinga
 
"...fedha nyingi anazotoa..." malizia "toka mfukoni... nk"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…