Bunsen Burner
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 909
- 1,101
Yaani bure kabisa,.... badala ya kupigania mambo ya msingi jinsi gani ya wapunguzia wananchi ktt kero za afya,maji,bei juu za bidhaa i.e.mafuta ya kula, cement,sukari, ajira na uwezeshaji kwenye kilimo, wenyewe ni ku concentrate kwenye vitu ambavyo ni 'so trivial' .....kaazi kwelikweli..Upuuzi tu.. Wanaacha sheria za kijinga na kandamizi zinapitishwa kwa sababu wanakomalia ujinga ujinga na mambo ya hovyo!
Mavazi yanatuhusu nini sisi?