Mbunge Condester Michael atimuliwa Bungeni kwa kuvaa ovyo. Spika awaagiza askari wa bunge kuwazuia getini wavaa ovyo

Mbunge Condester Michael atimuliwa Bungeni kwa kuvaa ovyo. Spika awaagiza askari wa bunge kuwazuia getini wavaa ovyo

Bunge katika mwendelezo wa utawala Dume!mwanamke ana uhuru wa kuvaa chochote anachokioenda kwa siku hiyo na wanaume wasitafsiri hii kuwa she need sex!kinachotakiwa bungeni ni madini kutoka kwa Mh. Mbunge sio kavaa nini,pls my speaker tembelea bunge la SA uone,wabunge pale wengine wanavaa maovaroli na wengine kama domestic worker na kila kitu kipo safi,haya masheria ya kipuuzi futilia mbali na unyanyasaji ndani yake.
wanawake wote wanafanana tabia awe mbunge au sio wanapenda sana kunyesha maumbile yao hiyo ndiyo hulka yao !
Namshangaa yule mtangazi wa TBC JARAMBA ana mwili wa Sanamu la michellin laki eti kuna siku studio anavaa skin jeans na wanamruhusu kutangaza ! huwa nashangaa Rioba hajaliona hilo ?
Ni maadili gani tunawafundisha wanaotizama TBC ?
 
Bunge katika mwendelezo wa utawala Dume!mwanamke ana uhuru wa kuvaa chochote anachokioenda kwa siku hiyo na wanaume wasitafsiri hii kuwa she need sex!kinachotakiwa bungeni ni madini kutoka kwa Mh. Mbunge sio kavaa nini,pls my speaker tembelea bunge la SA uone,wabunge pale wengine wanavaa maovaroli na wengine kama domestic worker na kila kitu kipo safi,haya masheria ya kipuuzi futilia mbali na unyanyasaji ndani yake.
Hongera kwa kufika SA. Kwa hiyo nasi tuwe kama wao? Rubbish!
 
Bunge katika mwendelezo wa utawala Dume! Mwanamke ana uhuru wa kuvaa chochote anachokipenda kwa siku hiyo na wanaume wasitafsiri hii kuwa she need sex! Kinachotakiwa bungeni ni madini kutoka kwa Mh. Mbunge sio kavaa nini, pls my speaker tembelea bunge la SA uone, wabunge pale wengine wanavaa maovaroli na wengine kama domestic worker na kila kitu kipo safi, haya masheria ya kipuuzi futilia mbali na unyanyasaji ndani yake.

Kuna shida kwa kweli. Yaani mtu anasimama anapewa airtime ya kitu kama icho.....ndo shida ya kuchanganya old school and dotcom generation kwenye taasisi kama hizi.
 
Mbunge wa Momba, Condester Michael Sichalwe amepata dhahma baada ya kuamriwa kutoka bungeni mjini Dodoma kutokana na kuvaa mavazi yasiyo na staha na yasiyoruhusiwa kwenye kanuni za bunge.

Spika baada ya kumuamrisha kuondoka Bungeni pia aliwaambia askari wa Bunge, kuanzia sasa mbunge yeyote atakaevaa mavazi yasiyo na Staha na kinyume na kanuni waishie getini. Sakata hilo lilianza kwa mbunge mwenzake kuomba muongozo wa spika akimtolea mfano kama mbunge aliyevaa mavazi yasiyo na staha.

Posho zimemzidia anamatani aweke vitu nje!!
 
Haya ni matunda aliyoyaotesha yule mwendazake, mule ndani karibu wote wapo kwa hisani yake na sio hisani ya wenye nchi yao,. Wenye ccm yao wamerudi.
 
Ndo mpeleke bungeni wabunge waliochaguliwa na wananchi, kuliko hawa wanaotokana na uchafuzi mkuu...
 
Mkuu umeongelea SA kuhusu swala la ndoa including za jinsia moja wewe nani kukupa mamlaka ya kuhukumu?mimi nikiamua kuwa guy au lesbian wewe utapungukiwa na nini?bunge letu sheria hizi zimepitwa na wakati kila mtu awe huru kuvaa anachokitaka
Utakuwa Rainbow colour
 
Mbunge wa Momba Condester Michael Sichalwe ametolewa ndani ya ukumbi wa Bunge ili akabadilishe mavazi yake baada ya Mbunge wa Nyangw'ale Hussein Nassor Amar kuomba muongozo wa Spika kuwa kuna baadhi ya Wabunge wamevaa mavazi yasiyo na maadili.

Spika baada ya kumuamrisha kuondoka Bungeni pia aliwaambia askari wa Bunge, kuanzia sasa mbunge yeyote atakaevaa mavazi yasiyo na Staha na kinyume na kanuni waishie getini. Sakata hilo lilianza kwa mbunge mwenzake kuomba muongozo wa spika akimtolea mfano kama mbunge aliyevaa mavazi yasiyo na staha.

Bunge limegeuzwa kuwa jukwa la nirvana
 
Mwomba mwongozo kaona hiyo ndiyo hoja ya uwakilishi wa wananchi wa Momba?

Hili ndilo ametumwa na wapiga kura wake?
Hapo kawatetea wanyonge wa Momba?

Alikosa namna ya kulimaliza/kumrekebisha nje ya kamera ili kutumia muda huu adhimu kwa manufaa mapana ya taifa.

Tunahangaishwa na yasiyo ya muhimu wakati tukipuuza au kunyamazia ya LAZIMA.
 
Back
Top Bottom