Mbunge Condester Michael atimuliwa Bungeni kwa kuvaa ovyo. Spika awaagiza askari wa bunge kuwazuia getini wavaa ovyo

Mbunge Condester Michael atimuliwa Bungeni kwa kuvaa ovyo. Spika awaagiza askari wa bunge kuwazuia getini wavaa ovyo

Mkuu umeongelea SA kuhusu swala la ndoa including za jinsia moja wewe nani kukupa mamlaka ya kuhukumu?mimi nikiamua kuwa guy au lesbian wewe utapungukiwa na nini?bunge letu sheria hizi zimepitwa na wakati kila mtu awe huru kuvaa anachokitaka
Mkuu kama umeamua mwenyewe kuwa mse*nge au shoga hainihusu mimi au serikali.
Tatizo lina anzia pale ambapo mtu anapotaka mambo hayo yahalalishwe kisheria.
 
Mwenyewe kavaa ji blauzi lake la haja labda kalitungua jana pale Nina fashion leo mnamvua jamani khaa. Mbona haina shida au ni kuvaa matenge kwa kwenda mbele
 
Huyu mzee Hussein Nassor Amar aliyemchongea huyu Dada ana jambo lake. Kwanza alikua anaangalia nini hadi kaona hilo. Pili nguo ya kawaida kabisa hiyo huyu mzee ana matatizo aseme kama katoswa sio kusingizia mavazi ya kubana.
 
Kapicha jamani
Hako apo
IMG_20210601_123310.jpg
 
Bunge katika mwendelezo wa utawala Dume! Mwanamke ana uhuru wa kuvaa chochote anachokipenda kwa siku hiyo na wanaume wasitafsiri hii kuwa she need sex! Kinachotakiwa bungeni ni madini kutoka kwa Mh. Mbunge sio kavaa nini, pls my speaker tembelea bunge la SA uone, wabunge pale wengine wanavaa maovaroli na wengine kama domestic worker na kila kitu kipo safi, haya masheria ya kipuuzi futilia mbali na unyanyasaji ndani yake.
Mawazo ya wabunge yako kwenye sex tu. Has been a long time tangu wawe hapo Dodoma. Wanaimia jamani, tangu April hawajapata kitu. It’s is a very long time!
 
Hakuna vazi zuri kama baibui na hijab. Ni vazi la heshima linalovaliwa na waislamu, na hata baazi ya upande wapili wanalipenda. Sasa kwanini musivae mavazi haya ili uheshimike,na kuficha mwili wako! Mijanaume mingine sijui haina wazazi/wadada, huwa inasapoti ujinga badala kukemea.
 
Hao wabunge upewa pesa za suti hayo matambara ya nini sasa kuyavaa
 
Kama mnaruhusu watoa huduma bungeni mnategemea nini, Tanzania ina tatizo la watu serious kwenye mifumo tena mingine ni nyeti kabisa...
 
Wapige maarufuku pia uvaaji wa vikuku mguuni!
Hivi hao wanaovaa vikuku mguuni wanajua maana yake au watu wanawachukuliaje

Ova
 
Kama mnaruhusu watoa huduma bungeni mnategemea nini, Tanzania ina tatizo la watu serious kwenye mifumo tena mingine ni nyeti kabisa...
Vp viti maalum nini huyo

Ova
 
Nenda Chako ni chako saa 7 ucku wamejaa
Aliyeripoti huenda alijikojelea, naye wangetupa nje. Badala ya kudikiliza yeye alikuwa busy anaangalia wana wake tu. Hawa wabunge sijui waliwatoabeapi, hata mbu Ana akili.
 
Huko Afrika kusini ndiko walikoruhusu ndoa za jinsia moja kisheria na sasa wameruhusu mwanamke mmoja kuolewa na zaidi ya mwanamume mmoja kisheria.

Tuwaige hawa? Hapana!

Kuhusu huyu mbunge wetu kutovaa kistaha ni kosa kisheria na kanuni za bunge awapo katika vikao.

Kwani nani anamzuia kuvaa nusu uchi akimaliza vikao aelekeapo sehemu za kujirusha?

Lazima tuwalinde watoto wetu na pia kujenga kizazi kijacho chenye heshima na maadili yaliyotukuka.

NB; swala la maadili linakwenda mbali kuliko wengi tufikirivyo. Hatumkingi mtu mzima na mambo ya kikubwa ila tunamkinga na kumlinda mtoto dhidi ya hayo mambo kabla ya wakati wake wa kuweza kupambanua.
Upuuzi mtupu. Ile nguo aliyoivaa inamharibu vipi mtoto? Kavaa blauzi ndefu na suruali. Mnataka avae nini? Wanafik wakubwa.

Amandla...
 
Bunge katika mwendelezo wa utawala Dume! Mwanamke ana uhuru wa kuvaa chochote anachokipenda kwa siku hiyo na wanaume wasitafsiri hii kuwa she need sex! Kinachotakiwa bungeni ni madini kutoka kwa Mh. Mbunge sio kavaa nini, pls my speaker tembelea bunge la SA uone, wabunge pale wengine wanavaa maovaroli na wengine kama domestic worker na kila kitu kipo safi, haya masheria ya kipuuzi futilia mbali na unyanyasaji ndani yake.
Kuambiwa usitiri mwili wako vizuri ni unyanyasaji?na kwani ni lazima wabunge wa Tanzania wavae kama South Africa?
 
Mbunge wa Momba Condester Michael Sichalwe ametolewa ndani ya ukumbi wa Bunge ili akabadilishe mavazi yake baada ya Mbunge wa Nyangw'ale Hussein Nassor Amar kuomba muongozo wa Spika kuwa kuna baadhi ya Wabunge wamevaa mavazi yasiyo na maadili.

Spika baada ya kumuamrisha kuondoka Bungeni pia aliwaambia askari wa Bunge, kuanzia sasa mbunge yeyote atakaevaa mavazi yasiyo na Staha na kinyume na kanuni waishie getini. Sakata hilo lilianza kwa mbunge mwenzake kuomba muongozo wa spika akimtolea mfano kama mbunge aliyevaa mavazi yasiyo na staha.

Wamezoea vya kunyonga
 
Hakuna vazi zuri kama baibui na hijab. Ni vazi la heshima linalovaliwa na waislamu, na hata baazi ya upande wapili wanalipenda. Sasa kwanini musivae mavazi haya ili uheshimike,na kuficha mwili wako! Mijanaume mingine sijui haina wazazi/wadada, huwa inasapoti ujinga badala kukemea.
Thanks but no thanks. Vaeni nyie sie dada zetu na wake zetu watavaa wanavyoona wanapendeza. Kuvaa baibui na hijab hakumaanishi kuwa mvaaji ni mtakatifu. Mbona Zanzibar na Pemba kuna wakina dada wengi wanajiuza wakiwa wamevaa baibui na hijab?

Amandla...
 
Back
Top Bottom