Mbunge Condester Michael atimuliwa Bungeni kwa kuvaa ovyo. Spika awaagiza askari wa bunge kuwazuia getini wavaa ovyo

Mbunge Condester Michael atimuliwa Bungeni kwa kuvaa ovyo. Spika awaagiza askari wa bunge kuwazuia getini wavaa ovyo

Mkuu kama umeamua mwenyewe kuwa mse*nge au shoga hainihusu mimi au serikali.
Tatizo lina anzia pale ambapo mtu anapotaka mambo hayo yahalalishwe kisheria.
Sasa likihalarishwa kisheria wewe litakuathiri vipi?
 
Mbona hiyo nguo yake haina tatizo? Wanaume wengine humu mna mihemko na matatizo ya kiakili!

Waacheni wanawake wavae watakavyo! Simple minds discuss people, great minds discuss ideas!
 
Waacheni wavae tu, mbona hata ninyi wengi wenu mmeiba kura - wizi na nguo fupi za kubana kipi kina nafuu..

20210526_175836.jpg
 
Liko wapi hilo vazi mkuu mbona na wewe umeleta siasa kama hao wa mjengoni?

Tunataka kuona alivaa nini hadi iwe big issue wasijadili mambo ya msingi ya kitaifa,weka picha!
 
Bunge katika mwendelezo wa utawala Dume! Mwanamke ana uhuru wa kuvaa chochote anachokipenda kwa siku hiyo na wanaume wasitafsiri hii kuwa she need sex! Kinachotakiwa bungeni ni madini kutoka kwa Mh. Mbunge sio kavaa nini, pls my speaker tembelea bunge la SA uone,
Lakini pia kumbuka huko SA ndio madalali wazuri wa sera za ushoga (LGBT) ambazo huku Tanzania ni mwiko hata kuzitamka mbele ya hadhara.
 
Lakini pia kumbuka huko SA ndio madalali wazuri wa sera za ushoga (LGBT) ambazo huku Tanzania ni mwiko hata kuzitamka mbele ya hadhara.
Yes huko SA wanazo haki za LGBT na kwingi duniani but nani aliyepewa haki ya kuhukumu wengine?kama wewe upo straight sio tatizo but why kuwe na tatizo la mtu ambaye sio straight?
 
Yes huko SA wanazo haki za LGBT na kwingi duniani but nani aliyepewa haki ya kuhukumu wengine?kama wewe upo straight sio tatizo but why kuwe na tatizo la mtu ambaye sio straight?
Mkuu, huo mfano wangu wa sera kuhusu LGBT community ulilenga kukueleza kwamba mazingira ya siasa za SA sio sawa na huku Tanzania.

Siku za hivi karibuni nilipata kusoma sehemu fulani kwamba, bunge la huko huko SA limepitisha sheria ya kuweza kuruhusu mwanamke mmoja kuolewa na wanaume wengi.

Sasa unafakiri kwa mazingira ya hapa Tanzania suala kama hilo linawezekana. Obviously no...!!!!!
 
Uvaaji wa mtu it got nothing na kile kinachofanyika ndani ya Bunge,wapiga kura wanataka kusikia mbunge wao anawatetea vipi sio kavaa nini,mbunge huyu aliyesababisha naye ana matatizo ya kisaikolojia ,kabla ya kuzungumzia hii issue bila shaka mind yake ilimpeleka kwenye sex
Maadili ni jambo la muhimu kuzingatiwa, hata kama unahoja nzuri kichwani, bado tunapaswa kujenga heshima na kuzinatia maadili ya jamii.

Tusitetee ukosefu wa maadili, ipo siku watu wataingia uchi na je, tutaendelea kusema ili mradi anatema madini kutoka kichwani kwake?!!!
 
Yaani huyu mbunge jamani ningekuwa hapo karibu, ningemtoa out kidogo akapunge upepo kule visiwa vya Caribbean apunguze msongo na Soni ama fedhaha jamani..
Ama namba yake Ipo kwenye website ya bunge nimtafute
 
I do understood you mkuu hasa msimamo wako kuhusiana na issue hii,na kwa taarifa yako serikali ya hapo SA haijaidhinisha sheria ya mke kuwa na wanaume wawili au zaidi(refer angalizo la minister wao wa home affairs)na kwa ubora wa demokrasia tuliokua nao we have also a right to disagree!lets move on tuangalie mada zingine pls
 
Back
Top Bottom