Bunsen Burner
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 909
- 1,101
Yaani bure kabisa,.... badala ya kupigania mambo ya msingi jinsi gani ya wapunguzia wananchi ktt kero za afya,maji,bei juu za bidhaa i.e.mafuta ya kula, cement,sukari, ajira na uwezeshaji kwenye kilimo, wenyewe ni ku concentrate kwenye vitu ambavyo ni 'so trivial' .....kaazi kwelikweli..Upuuzi tu.. Wanaacha sheria za kijinga na kandamizi zinapitishwa kwa sababu wanakomalia ujinga ujinga na mambo ya hovyo!
Mavazi yanatuhusu nini sisi?
Wengi wapo mnadani pale lile ni danguro la kisasaAlienda kujiuza .
Ndugu yangu siasa imekufanya umekuwa na chuki mbaya sana.......inawezekana watawala wamekusababishia madhila makubwa sana......pole sana...Ndiyo maana hayaolewi haya majinga
Mi siyo ndugu yako mkuu samahani snNdugu yangu siasa imekufanya umekuwa na chuki mbaya sana.......inawezekana watawala wamekusababishia madhila makubwa sana......pole sana...
Samahani mkuu kama umekwazika na andiko langu sikuandika kwa ubaya...uwe na siku njemaMi siyo ndugu yako mkuu samahani sn
Pia nawe mkuuSamahani mkuu kama umekwazika na andiko langu sikuandika kwa ubaya...uwe na siku njema
Ni kweli.Bunge katika mwendelezo wa utawala Dume!mwanamke ana uhuru wa kuvaa chochote anachokioenda kwa siku hiyo na wanaume wasitafsiri hii kuwa she need sex!kinachotakiwa bungeni ni madini kutoka kwa Mh.Mbunge sio kavaa nini,pls my speaker tembelea bunge la SA uone,wabunge pale wengine wanavaa maovaroli na wengine kama domestic worker na kila kitu kipo safi,haya masheria ya kipuuzi futilia mbali na unyanyasaji ndani yake.
Nafikiri alikuwa anawaza hivi...."Hee huyu mbaba jamani...looohhh kushadadiaaa"πΊπ πππππππ π’π πΌππππππππ’πView attachment 1804526View attachment 1804527View attachment 1804528View attachment 1804529
Sent using Jamii Forums mobile app
Uvaaji wa mtu it got nothing na kile kinachofanyika ndani ya Bunge,wapiga kura wanataka kusikia mbunge wao anawatetea vipi sio kavaa nini,mbunge huyu aliyesababisha naye ana matatizo ya kisaikolojia ,kabla ya kuzungumzia hii issue bila shaka mind yake ilimpeleka kwenye sexKama kuna kanuni kandamizi, zibadilishwe sio zidharauliwe. Hata wanaume wamewahi kutolewa.
View attachment 1804430
Siku upinzani ukifanywa hivi msione kitu cha ajabu.Safari hii ni wao kwa wao!
Umechemka sana mkuuBunge katika mwendelezo wa utawala Dume!mwanamke ana uhuru wa kuvaa chochote anachokioenda kwa siku hiyo na wanaume wasitafsiri hii kuwa she need sex!kinachotakiwa bungeni ni madini kutoka kwa Mh.Mbunge sio kavaa nini,pls my speaker tembelea bunge la SA uone,wabunge pale wengine wanavaa maovaroli na wengine kama domestic worker na kila kitu kipo safi,haya masheria ya kipuuzi futilia mbali na unyanyasaji ndani yake.