babu bulicheka
JF-Expert Member
- Mar 26, 2021
- 822
- 1,048
Ulitaka awe na uzuri upi? Acha ubishooHuyo mwanamke ana uzuri gani ? Mbona wa kawaida tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka awe na uzuri upi? Acha ubishooHuyo mwanamke ana uzuri gani ? Mbona wa kawaida tu
Kwani yeye ndiye mtunza kanuni za Bunge?Lastly ,mbunge Amar wa Nyang'wale yuko sahihi kabisa kwani ,kanuni za BUNGE ndizo zilizomtoa huyo mbunge mwanamke !!!
Watunza kanuni wenyewe ndio hahao kazi ipo!Kwani yeye ndiye mtunza kanuni za Bunge?
Kumbe bunge letu halijawa huru hivi? Mbona mdada umependekeza tu.Tukio la leo asubuhi , lalamiko la Mbunge wa Nyangw'ale Hussein Nassor Amar akilalamika ati Mbungwe mwenziwe Condester Minael Sichalwe kavaa visivyo, limeelezea zaidi mtoa hoja anafikiri nini huko Bungeni kuliko kile “waliomchagua” kuwawakilisha wanachokitaka toka kwake.
Tunaifahamu Dodoma, na jinsi watu wanakaa bila wake zao kwa muda mrefu, na tunafahamu imagination ile Mbunge kama huyu wa Nyang’wale anavyoweza kufadhaika kiakili pasipo na sababu.
BINTI YULE ALIVAA VIZURI KABISA.
View attachment 1805304
Tena kwa heshima kabisa, sasa sijui huyu Hussein Nassor Amar alitaka avae baibui au?
Hata picha zinaonhesha binti yuko sawa kabisa.
Mbunge wa Nyang’wale alipita ubunge kwa vigezo vipi haswa vya kutetea chama na maslahi ya nchi?
Walishazoea kuwatoa nje wabunge wa CDM,sasa hivi wanatimuana wenyewe kwa wenyewe......"BUNGE LIMEPOTEZA DIRA HALINA MVUTO"Kwa yaliyotokea leoooo
Sidhani Kama mna UMOJA wenu hili Jambo lisiachwe KIMYA
Kama mbunge anadhalilika vile.mwanamke kesho.mjiandae wengine KUDHALILIKA
LAZIMA HILI vazi LIANGALIE pande zote wapi palikuwa na SHIDA simjui nilichoona Leo n tamaaa ya mwili
Hataaa walipokuwa akitoka watu KADHAA walitoamachozi macho kama.vile.ilikuwa.planned
Mjitathimini kilichotokea leo hujui KESHO anafwata Nani
Badokulikuwa na hekima ya kujibu ataelezwa ajirekebishe then mmemaliza vikao vyenu wote.mjirishishe SHIDA wapi na kama kuna aliekosea achukuliwe hatua kinidhamu
Nguo haima shida matanio ya nafsi ndio yaliokuwa tatizo mkaekimya mtanikumbuka
Huyo Mbunge mwanaume yaani kazi yake ni kuangalia wanawake walivyovaa badala ya kujali maslahi ya jimbo lake?! Yaonekana hawajali raia jimboni, kwake ni posho na kuangalia kina mama walivyovaa, jamani hizi kura tuwapigie watu mahiri na wataotujali na kuleta maendeleo bungeni na siyo ujinga huo..Tukio la leo asubuhi , lalamiko la Mbunge wa Nyangw'ale Hussein Nassor Amar akilalamika ati Mbungwe mwenziwe Condester Minael Sichalwe kavaa visivyo, limeelezea zaidi mtoa hoja anafikiri nini huko Bungeni kuliko kile “waliomchagua” kuwawakilisha wanachokitaka toka kwake.
Tunaifahamu Dodoma, na jinsi watu wanakaa bila wake zao kwa muda mrefu, na tunafahamu imagination ile Mbunge kama huyu wa Nyang’wale anavyoweza kufadhaika kiakili pasipo na sababu.
BINTI YULE ALIVAA VIZURI KABISA.
View attachment 1805304
Tena kwa heshima kabisa, sasa sijui huyu Hussein Nassor Amar alitaka avae baibui au?
Hata picha zinaonhesha binti yuko sawa kabisa.
Mbunge wa Nyang’wale alipita ubunge kwa vigezo vipi haswa vya kutetea chama na maslahi ya nchi?
Wewe ndio utakua na matatizo ya akiliTukio la leo asubuhi , lalamiko la Mbunge wa Nyangw'ale Hussein Nassor Amar akilalamika ati Mbungwe mwenziwe Condester Minael Sichalwe kavaa visivyo, limeelezea zaidi mtoa hoja anafikiri nini huko Bungeni kuliko kile “waliomchagua” kuwawakilisha wanachokitaka toka kwake.
Tunaifahamu Dodoma, na jinsi watu wanakaa bila wake zao kwa muda mrefu, na tunafahamu imagination ile Mbunge kama huyu wa Nyang’wale anavyoweza kufadhaika kiakili pasipo na sababu.
BINTI YULE ALIVAA VIZURI KABISA.
View attachment 1805304
Tena kwa heshima kabisa, sasa sijui huyu Hussein Nassor Amar alitaka avae baibui au?
Hata picha zinaonhesha binti yuko sawa kabisa.
Mbunge wa Nyang’wale alipita ubunge kwa vigezo vipi haswa vya kutetea chama na maslahi ya nchi?
Afadhali ya huyo kuliko wale wanaojifunika gubigubi wasionekane sura halafu ni makahaba kama makahaba wengine tu.Kwa wakristo hilo vazi LA heshima sana
Sikubaliani na kitendo cha kutolewa nje huyo mbunge kwa sababu ya hilo vazi lake kwani kwenye picha inaonekana halina shida na wabunge kadhaa wanawake wamekua wakivaa mavazi kama yakeHaijakaa vizuri kabisa naona misimamo ya kidini inaletwa bungeni Islamic culture imepelekwa kwa ambaye sio muhusika eti avae nguo ndefu na baibui au ajitande, haipo sawa kabisa, pili alistahili kupewa onyo tu na sio kutolewa nje.
Sidhani kama ni kanuni ndizo zilizomtoa. Baada ya hoja kutolewa Spika alitoa uamuzi wa kutoa bila kulisoma hilo vazi. Kwa maana hiyo alisikiliza upande moja... Uamuzi wake haukuwa wa busara.Kwani VAZI AINA HILO linaruhusiwa na kanuni za BUNGE ?!!!!
Ama pang'ang'a tu ?!!!🤣🤣
Bungeni hata ukivaa KANZU bila ya KOTI ,KIBARAGHASHIA na MAKOBAZI unakuwa umekiuka TARATIBU ZA MAVAZI ENEO LILE ?!!!
Hivi mmemsahau Yule MBUNGE aliyemlalamikia SPIKA kuwa BABA YAKE "amenyanyaswa" kwa kuzuiwa kuingia viwanja vya bunge na SHUKA (mgololole) za kimasai ?!!!
Mh.Spika alimjibu vyema tu kuwa ni kweli KUZUIWA MZEE WAKE SI JAMBO JEMA ,ila wataangalia tena kanuni ,Kwani VAZI LA AINA HIYO halitambuliwi na SHERIA ZAO ZA MAVAZI......
Lastly ,mbunge Amar wa Nyang'wale yuko sahihi kabisa kwani ,kanuni za BUNGE ndizo zilizomtoa huyo mbunge mwanamke !!!
#KaziIendelee