Mbunge Condester Michael atimuliwa Bungeni kwa kuvaa ovyo. Spika awaagiza askari wa bunge kuwazuia getini wavaa ovyo

Mbunge Condester Michael atimuliwa Bungeni kwa kuvaa ovyo. Spika awaagiza askari wa bunge kuwazuia getini wavaa ovyo

Mtu anaejitambua hawezi sapoti huu ujinga. Zindukeni!

Duh! Mwanamme mzima unasapoti ujinga. Wewe ndio baba wa familia unachangia haya!!! Dunia imebadilika mno
Kwahiyo kuogopa mkeo kutongozwa ndio definition yako ya kujitambua? Kwani huyo mkeo hawezi kusema NO. Acha wanawake wawe huru na maisha yao.
 
Kwahiyo kuogopa mkeo kutongozwa ndio definition yako ya kujitambua? Kwani huyo mkeo hawezi kusema NO. Acha wanawake wawe huru na maisha yao.

Wewe huelewi point yangu, unaropoka tu.

Mbali na kutongozwa, Je! Unafurahia mwanao apite barabarani akiwa amevaa kimini au nguo yoyote inayoonyesha body yake na minywele yote kama mwendawazimu! Unajua kuwa ni dhambi!! Au biblia inasemaje? Najua hutanielewa kwakuwa tunatofautiana imani.
 
Wewe huelewi point yangu, unaropoka tu.

Mbali na kutongozwa, je! Unafurahia mwanao apite barabarani akiwa amevaa kimini au nguo yoyote inayoonyesha body yake na minywele yote kama mwendawazimu! Unajua kuwa ni dhambi!! Au biblia inasemaje? Najua hutanielewa kwakuwa tunatofautiana imani.
Nchi huru hii, kila mtu abaki na mtazamo wake na imani yake.
 
Hakuwa na kitu cha kuzungumza mule ndani... C mnajua tena namna walivyoingizwa bungeni... Kudemka kunaendelea
Huyu
Hakuwa na kitu cha kuzungumza mule ndani... C mnajua tena namna walivyoingizwa bungeni... Kudemka kunaendelea
Huyu Mbunge noma sana kwanza alifika Dodoma na kwenda Chako ni Chako bar kuhesabu kuku zinavyo liwa kesho yake akapeleka bungeni kuongeza kodi Mzee wa hovyo sana
 
Huuyu Mdada kaonewa peke yake,
Huyo secretry wa Spika na yeye amevaa Kasuruali kama cha huyu Mdada kasoro yeye kavaa kikoti cha juu na huyu mdada kavaa kib lause cha njano.

Mimi sioni kanuni imevunjwaje hapo .Naona Spika katiwa chakani
1622636386887.png
 
Ndiyo, kwa sababu asingekuwa na kiherehere mbunge asingetolewa.
Je kisheria ni hicho "kiherehere chake"usemacho ndicho kilichomtoa mbunge ?!!!

Awezaye kumtoa nje mbunge ni SPIKA tu ama kanuni zimebadilika siku hizi....
 
Spika Ndugai ni wazi alighafilika.
Basi hapo wa kuomba msamaha anafahamika,wabunge wanaojifanya wanamtetea mwenzao waache unafiki,wawe wawazi moja kwa moja.
Mtoa hoja aliomba mwongozo wa spika,na spika akatoa ruling yake.sasa mtoa hoja ana kosa gani mpaka aombe msamaha? Si mara moja au mara mbili tumeshuhudia walioomba miongozo wakijibiwa kinyume na matakwa yao endapo hoja zao zinakinzana na kanuni za bunge na wanakuwa wapole,kazi zinaendelea.
 
Spika Ndugai ni mwanasiasa aliyebarikiwa nguvu nyingi kuliko akili.
Lakini,upande mwingine aliamua kutomtaka huyo mbunge aje mbele ili kujiridhisha, kama angefanya hivyo
na huyo dada akatoka na kwa bahati mbaya akawa amevaa vibaya,ingekuwa aibu ya karne kwa mbunge na ingevuma sana kuliko
alivyoamua atoke nje kimya kimya.
Ushauri wangu ni kwamba endapo itajitokeza tena,wajumbe wa kamati ya maadili ya bunge
wapewe maelekezo ya kutoka nje na mhusika kufuatia jinsia ya mtuhumiwa,waende kumkagua,kisha walete jibu kwa spika na ndo hapo atoe mwongozo.Nashauri hivyo sababu naamini hili halitaishia kwa Conchesta. Sisi ni wanadamu ,kila siku tunajifunza.
 
Je kisheria ni hicho "kiherehere chake"usemacho ndicho kilichomtoa mbunge ?!!!

Awezaye kumtoa nje mbunge ni SPIKA tu ama kanuni zimebadilika siku hizi....
Hapana. Kanuni hazijabadilika, lakini kanuni hizo hizo hazisemi ni kazi ya wabunge wengine kuchunguza mavazi ya wenzao.

Kuna kanuni hiyo Bungeni?
 
Hapana. Kanuni hazijabadilika, lakini kanuni hizo hizo hazisemi ni kazi ya wabunge wengine kuchunguza mavazi ya wenzao.

Kuna kanuni hiyo Bungeni?
Kanuni hiyo haipo....

Ila.....

Kwani mh.Spika asipoona uvunjwaji wa kanuni kimavazi hawezi akakumbushwa na mh.mbunge?!!!
 
Kanuni za mavazi bungeni na udini zinaingialianaje hapa?!

Huyo mbunge wa Nyang'wale ameomba MUONGOZO.... Unadhani ungekuwa hauna hoja, Spika angemtoa yule dada?!!!
Kwa hiyo mh. Spika mdini?
Tatizo lako na wote waliokupa LIKE, hamjaanzia kusoma ishu ya udini imeanzia wapi,,!!! Embu cheki post hii

1622663680448.png

Kuna Mwenzetu anaitwa Chongoe, alisema kwa WAKRISTO VAZI LILE NI LA HESHIMA SANA...!!! Bwana Kalamu1 akamuuliza bwana Chongoe kama kuna msaafu wa dini yoyote unaozungumzia aina za mavazi....

HAPO NDIPO MIMI NIKAMSIHI BWANA KALAMU1 AACHANE NA BWANA CHONGOE KWA SABABU, KWA KOMENTI YAKE, ANAONEKANA NI MDINI...

Sasa ndugu yangu wewe unapotaka kuuaminisha UMA kwamba nimesema SPIKA mdini huoni kama UNAONGOPA??? HUJASOMA MTIRIRIKO WOTE TOKA POST ILIYOPELEKEA NIFIKE KWENYE ISHU YA UDINI HADI KWENYE MAJIBU YANGU KWA BWANA KALAMU1, LAKINI UMEKUJA NA HITIMISHO AMBALO SI LA KWELI...

Mnapotaka kuzusha jambo, at least chimbeni historical background ya jambo husika..
 
Tatizo lako na wote waliokupa LIKE, hamjaanzia kusoma ishu ya udini imeanzia wapi,,!!! Embu cheki post hii

View attachment 1806410

Kuna Mwenzetu anaitwa Chongoe, alisema kwa WAKRISTO VAZI LILE NI LA HESHIMA SANA...!!! Bwana Kalamu1 akamuuliza bwana Chongoe kama kuna msaafu wa dini yoyote unaozungumzia aina za mavazi....

HAPO NDIPO MIMI NIKAMSIHI BWANA KALAMU1 AACHANE NA BWANA CHONGOE KWA SABABU, KWA KOMENTI YAKE, ANAONEKANA NI MDINI...

Sasa ndugu yangu wewe unapotaka kuuaminisha UMA kwamba nimesema SPIKA mdini huoni kama UNAONGOPA??? HUJASOMA MTIRIRIKO WOTE TOKA POST ILIYOPELEKEA NIFIKE KWENYE ISHU YA UDINI HADI KWENYE MAJIBU YANGU KWA BWANA KALAMU1, LAKINI UMEKUJA NA HITIMISHO AMBALO SI LA KWELI...

Mnapotaka kuzusha jambo, at least chimbeni historical background ya jambo husika..
Huwezi ukanitia kapu moja la kushahabiana mitizamo ya comments na wenzangu akina Chongoe ijapokuwa sote tunaunga mkono msimamo wa mh.Spika juu ya hiyo adhabu dhidi ya mh.Condester.....

Mathalani ishu ya mambo ya dini sikuizungumzia mimi....bali niliwakumbusha tu ni kwanini tunajilazimisha kwenda katika RELI HIYO na sikuwa na maana Upande wako tu hata kwa hao wenzangu tulio upande wa kumtetea mbunge wa Nyang'wale.....

Kwa yeyote ukishaingiza hoja za kidini ujue mjadala umeshafika mwisho kwani "hizo mambo" si TANGIBLE na zimejaa tu hisia mbali na uhalisia.

Comment yangu haikusema wewe Umesema Spika ni mdini bali lilikuwa ni swali kuwa ikiwa huyo mbunge wa Nyang'wale ni mdini ,je na spika aliyetoa maamuzi yale naye ni MDINI?!!!

Lilikuwa ni swali tu.

Yap!
 
Back
Top Bottom