EZEKIEL SHEDRACK NTAMA
New Member
- May 31, 2021
- 3
- 0
Nawasalimia kwa jina la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ameolewa?
nina mdogo wangu yupo benki mwaka wa tatu huu na hajaoa, nimpatie huyu.
Hivi Halima Mdee ameolewa?
Utopolo huoNawasalimia kwa jina la JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Kwahiyo kuogopa mkeo kutongozwa ndio definition yako ya kujitambua? Kwani huyo mkeo hawezi kusema NO. Acha wanawake wawe huru na maisha yao.Mtu anaejitambua hawezi sapoti huu ujinga. Zindukeni!
Duh! Mwanamme mzima unasapoti ujinga. Wewe ndio baba wa familia unachangia haya!!! Dunia imebadilika mno
Kwahiyo kuogopa mkeo kutongozwa ndio definition yako ya kujitambua? Kwani huyo mkeo hawezi kusema NO. Acha wanawake wawe huru na maisha yao.
Nchi huru hii, kila mtu abaki na mtazamo wake na imani yake.Wewe huelewi point yangu, unaropoka tu.
Mbali na kutongozwa, je! Unafurahia mwanao apite barabarani akiwa amevaa kimini au nguo yoyote inayoonyesha body yake na minywele yote kama mwendawazimu! Unajua kuwa ni dhambi!! Au biblia inasemaje? Najua hutanielewa kwakuwa tunatofautiana imani.
HuyuHakuwa na kitu cha kuzungumza mule ndani... C mnajua tena namna walivyoingizwa bungeni... Kudemka kunaendelea
Huyu Mbunge noma sana kwanza alifika Dodoma na kwenda Chako ni Chako bar kuhesabu kuku zinavyo liwa kesho yake akapeleka bungeni kuongeza kodi Mzee wa hovyo sanaHakuwa na kitu cha kuzungumza mule ndani... C mnajua tena namna walivyoingizwa bungeni... Kudemka kunaendelea
Nchi huru hii, kila mtu abaki na mtazamo wake na imani yake.
Ndiyo, kwa sababu asingekuwa na kiherehere mbunge asingetolewa.Kwani yeye ndiye aliyemtoa huyo mbunge ?!!
Je kisheria ni hicho "kiherehere chake"usemacho ndicho kilichomtoa mbunge ?!!!Ndiyo, kwa sababu asingekuwa na kiherehere mbunge asingetolewa.
Basi hapo wa kuomba msamaha anafahamika,wabunge wanaojifanya wanamtetea mwenzao waache unafiki,wawe wawazi moja kwa moja.Spika Ndugai ni wazi alighafilika.
Lakini,upande mwingine aliamua kutomtaka huyo mbunge aje mbele ili kujiridhisha, kama angefanya hivyoSpika Ndugai ni mwanasiasa aliyebarikiwa nguvu nyingi kuliko akili.
Hapana. Kanuni hazijabadilika, lakini kanuni hizo hizo hazisemi ni kazi ya wabunge wengine kuchunguza mavazi ya wenzao.Je kisheria ni hicho "kiherehere chake"usemacho ndicho kilichomtoa mbunge ?!!!
Awezaye kumtoa nje mbunge ni SPIKA tu ama kanuni zimebadilika siku hizi....
Tatizo ni wao kujidhani SI WATUMISHI WA UMMA HIVYO ULE WARAKA WA MAVAZI HAUWAHUSU!!!Safari hii ni wao kwa wao!
Kanuni hiyo haipo....Hapana. Kanuni hazijabadilika, lakini kanuni hizo hizo hazisemi ni kazi ya wabunge wengine kuchunguza mavazi ya wenzao.
Kuna kanuni hiyo Bungeni?
Tatizo lako na wote waliokupa LIKE, hamjaanzia kusoma ishu ya udini imeanzia wapi,,!!! Embu cheki post hiiKanuni za mavazi bungeni na udini zinaingialianaje hapa?!
Huyo mbunge wa Nyang'wale ameomba MUONGOZO.... Unadhani ungekuwa hauna hoja, Spika angemtoa yule dada?!!!
Kwa hiyo mh. Spika mdini?
Kanuni hiyo haipo....
Ila.....
Kwani mh.Spika asipoona uvunjwaji wa kanuni kimavazi hawezi akakumbushwa na mh.mbunge?!!!
Huwezi ukanitia kapu moja la kushahabiana mitizamo ya comments na wenzangu akina Chongoe ijapokuwa sote tunaunga mkono msimamo wa mh.Spika juu ya hiyo adhabu dhidi ya mh.Condester.....Tatizo lako na wote waliokupa LIKE, hamjaanzia kusoma ishu ya udini imeanzia wapi,,!!! Embu cheki post hii
View attachment 1806410
Kuna Mwenzetu anaitwa Chongoe, alisema kwa WAKRISTO VAZI LILE NI LA HESHIMA SANA...!!! Bwana Kalamu1 akamuuliza bwana Chongoe kama kuna msaafu wa dini yoyote unaozungumzia aina za mavazi....
HAPO NDIPO MIMI NIKAMSIHI BWANA KALAMU1 AACHANE NA BWANA CHONGOE KWA SABABU, KWA KOMENTI YAKE, ANAONEKANA NI MDINI...
Sasa ndugu yangu wewe unapotaka kuuaminisha UMA kwamba nimesema SPIKA mdini huoni kama UNAONGOPA??? HUJASOMA MTIRIRIKO WOTE TOKA POST ILIYOPELEKEA NIFIKE KWENYE ISHU YA UDINI HADI KWENYE MAJIBU YANGU KWA BWANA KALAMU1, LAKINI UMEKUJA NA HITIMISHO AMBALO SI LA KWELI...
Mnapotaka kuzusha jambo, at least chimbeni historical background ya jambo husika..
Ushamba piaAmebarikiwa pia ujinga mwingi kuliko werevu