Mbunge David Mathayo agawa magari ya wagonjwa kwa kila kata jimboni kwake

Mbunge David Mathayo agawa magari ya wagonjwa kwa kila kata jimboni kwake

Mbunge kapata pesa wapi ni swali ambalo inabidi tujiulize kabla hatujapongeza
 
Anaacha kujenga viwanda watu wapate ajira ili wajitibu wenyewe, anatoa magari ya wagonjwa kana kwamba wakazi wote wa huko kwake ni wagonjwa!
Kwamtindo huu hata angetoa nyumba kwa kila mtu wangesikika wanaosema si angetoa pumzi tuu ili kila mtu aishi,anatoa nyumba za nini nani anashida ya nyumba[emoji38][emoji1787][emoji3]
 
Ndio anaanza kufanya mazuri sasa wakati alikuwa mbunge zaidi ya 5yrs? Huko kwake kuna kata ngapi ili tujue Idadi ya magari aliyonunua.

Nafikiri magari haya yalikuja kabla ya uchaguzi na takakuru akaingilia kati kama kumbukumbu zangu
zipo vizuri au kama nimekosea basi nirekebishwe
 
baada ya kutoa hayo magari Mathayo anaweza kupotea mpaka 2024 wakati uchaguzi unakaribia.
 
Mbunge wa Same Magharibi Mh David Mathayo amekabidhi magari ya wagonjwa kwa kila kata katika jimbo lake.

Mathayo amesema magari hayo imara sana ameyanunua yeye mwenyewe ili kuwasaidia wapiga kura wake na hasa akina mama ukizingatia Same ni eneo lenye milima.

Chanzo: Upendo TV

Maendeleo hayana vyama!
Jimbo lake lina kata ngapi bwashee? Fedha amepata wapi za kununulia hayo magari kwa kata zote?
 
Jimbo lake lina kata ngapi bwashee? Fedha amepata wapi za kununulia hayo magari kwa kata zote?
Kata za Jimbo la Same Magharibi ni hizi hapa:
1.Bangalala
2.Chome.
3.Gavao Saweni
4.Hedaru
5.Kisiwani
6.Kisima
7.Makanya
8.Mabilioni
9.Mshewa
10.Mhezi
11.Msindo
12.Mwembe
13.Same Mjini
14.Ruvu
15.Njoro
16.Suji
17.Stesheni
18.Tae
19.Vudee
20.Vumari.
 
Aisee gari 20 za wagonjwa sio fedha ya kitoto,aweke wazi alipopata pesa ili wengine nao wajifunze(Kama ni msaaada au michango ya wananchi).
 
Anaacha kujenga viwanda watu wapate ajira ili wajitibu wenyewe, anatoa magari ya wagonjwa kana kwamba wakazi wote wa huko kwake ni wagonjwa!
Atuhakikishie na mafuta atakuwa anajaza yeye sio siku una mgonjwa Wa kupeleka hosp unaambiwa weka mafuta ta 20000= ,wakati boda ni 3000\=
 
Aisee gari 20 za wagonjwa sio fedha ya kitoto,aweke wazi alipopata pesa ili wengine nao wajifunze(Kama ni msaaada au michango ya wananchi).
Huyu hajamaa alishatiliwaga mashaka na takakuu(takukuru) akahojiwa sijui alichomokaje,Babaye slishawahi kuwa prime minister, sishangai mtoto kumiliki sandarusi ya mahera.
 
Duh! Kumridhisha mwanadamu ni kazi sana

Pongezi kwa mbunge. Japo sivutiwi na tabia yao ya kutembea na camera.
Wasipotembea na camera, wauza magazeti na waandishi wa habari watalala njaa, maana camera ndio ugali wao
 
Si Bora huyu ametumia akili.
Kuna mmoja huko Usweken kanunua gari la kubebea maiti
 
Huyu hajamaa alishatiliwaga mashaka na takakuu(takukuru) akahojiwa sijui alichomokaje,Babaye slishawahi kuwa prime minister, sishangai mtoto kumiliki sandarusi ya mahera.
dr.david mathayo hajazaliwa wala kulelewa na waziri mkuu mstaafu cleopa msuya. pia mathayo ana mapesa aliyoyapata kwa uhangaikaji wake mwenyewe. siwezi kusema ni kwa njia halali au zisizo halali, lakini huyu bwana ni bilionea.

magari aliyoyagawa ilikuwa ayatoe mwaka jana karibia na uchaguzi mkuu. dr.mathayo ana tabia ya kujitokeza jimboni wakati uchaguzi umekaribia. wananchi wakishampa kura anatokomea tena mjini kuendesha biashara zake.
 
Asante Dr kwa ufafanuzi mzuri,Kumbe na wewe ni mwenzetu humu jeiefuu.
 
Back
Top Bottom