PreGE2025 Mbunge Dkt. Charles Kimei azomewa Vunjo, Waziri Mchengerwa amtetea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa hali duni ya barabara ya Town - Kahe, sidhani kama kulikuwa na haja ya Dr. Kimei kufanya ziara Kahe.

Mzee Kimei aachane na siasa, akalee wajukuu; kwani sidhani kama kuna wa kumbeba zama hizi.
 
Gazeti la mwananchi laiti ni sawa tu na BBC, Mwananchi ni ya Kenya hawana zuri na nchi yetu. Unavyoona BBC inavyoshughulikia Kenya ndivyo Mwananchi inavyoshughulikia nchi yetu. Hili gazeti ni mahasidi wanafurahia nchi yetu kuharibikiwa. Namkumbuka Magufuli ktk hili, hili ni gazeti la kufukuzwa. Shida ni waziri. Km mnaona vp kaeni pembeni tulinde nchi yetu.
 
Toa muhitasari wa tukio namna alivyozomewa.

Kama kazomewa kwa kutenda kazi chini ya kiwango na kutegemea uchawa 'kufukia mashimo' namimi ninaungana na wazomeaji.

Hakuna ulinzi wala usalama kuvunjwa kwa kuzomea wazembe na mafisadi.
 
Gazeti la mwananchi laiti ni sawa tu na BBC, Mwananchi ni ya Kenya hawana zuri na nchi yetu. Unavyoona BBC inavyoshughulikia Kenya ndivyo Mwananchi inavyoshughulikia nchi yetu. Hili gazeti ni mahasidi wanafurahia nchi yetu kuharibikiwa. Namkumbuka Magufuli ktk hili, hili ni gazeti la kufukuzwa. Shida ni waziri. Km mnaona vp kaeni pembeni tulinde nchi yetu.
Mbona jana kwenye Tuzo za machawa gazeti la Mwananchi walipewa zawadi.
 
Gazeti kazi yake ni kuhabarisha, na tukio limetokea kweli sasa wangeandika uongo kuwa wananchi wa Vunjo waliwapaka miguu waziri Mchengerwa na mbuge Kimei mafuta yenye manukato mazuri miguuni kwa furaha na nderemo huku wakibubujikwa na machozi ya furaha? Jamani waTanania tumekuwaje? Hatutaki viongozi wakosolewe au hata kukataliwa iwapo hawatekelezi majukumu yao ipasavyo au wanaposema uongo hadarani mchana kweupe?
Tutakua nchi ya aina gani? Rais Ruto jana kapigwa kiatu na magazeti yote ya Kenya yameandika TV na radio nazo zimetangaza sasa tatizo liko wapi waziri na mbunge kuzomewa kuandikwa na gazeti?
 
Back
Top Bottom