PreGE2025 Mbunge Dkt. Charles Kimei azomewa Vunjo, Waziri Mchengerwa amtetea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
NAPE NI NANI FALA HUYO ASIYEKWENDA SHULE, NDIYO MAANA AMETOLEWA UWAZIRI.....HAFAI MLEVI HUYO.
 
Kweli nabii hakubaliki nyumbani. Wana vunjo skije "kukosea kuchagua" mkajikuta mmewekwa pembeni kwenye mambo ya maendeleo .
Kwa hali duni ya barabara ya Town - Kahe, sidhani kama kulikuwa na haja ya Dr. Kimei kufanya ziara Kahe.

Mzee Kimei aachane na siasa, akalee wajukuu; kwani sidhani kama kuna wa kumbeba zama hizi.
 
Akishinda mwaka huu,basi mganga wake ni konki
 
Atakuwa kapigwa mizinga sana had akagoma sasa ategemee kufukuzwa tu
 
kuna siku huyu jamaa akiwa mjengoni alisema,huwezi maliza kila kitu jimboni ,lazima uache viporo vya kuombea kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…