Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kuna uhusiano?Kutokana na kuenea kwa uvumi wa taarifa katika mitandao ya kijamii zikidai kuwepo kwa maandamano awamu ya pili yanayotajwa kufanyika Desemba 9, 2025, Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Paschal Chinyele amewataka viongozi wa mitaa kufuatilia wageni wanaoingia kwenye mitaa yao pamoja na kuwataka wamiliki wa nyumba za kulala wageni kuwaripoti wageni wanaowatilia mashaka katika vituo vya polisi ili kuepusha taifa kuingia katika vurugu kama zilizotokea Oktoba 29, 2025.
Chinyele amebainisha hayo wakati akizungumza na wafanyabiashara wa Soko la Bonanza jijini Dodoma kwa lengo la kuimarisha usalama wa nchi kwa kulinda taifa lisiingie kwenye machafuko.
View attachment 3507756
Wanafuta kisingizio cha kupiga risasi za moto.Kutokana na kuenea kwa uvumi wa taarifa katika mitandao ya kijamii zikidai kuwepo kwa maandamano awamu ya pili yanayotajwa kufanyika Desemba 9, 2025, Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Paschal Chinyele amewataka viongozi wa mitaa kufuatilia wageni wanaoingia kwenye mitaa yao pamoja na kuwataka wamiliki wa nyumba za kulala wageni kuwaripoti wageni wanaowatilia mashaka katika vituo vya polisi ili kuepusha taifa kuingia katika vurugu kama zilizotokea Oktoba 29, 2025.
Chinyele amebainisha hayo wakati akizungumza na wafanyabiashara wa Soko la Bonanza jijini Dodoma kwa lengo la kuimarisha usalama wa nchi kwa kulinda taifa lisiingie kwenye machafuko.
View attachment 3507756
Yaani sahivi wakikuta mrundi kwenye guest house lazima akamatwe kuhalalisha hoja yao. Cha ajabu wote waliokamatwa na kufunguliwa mashtaka ni watanzania!! Ila lawama ni wageni.This time hawafanyi mazoezi ya pamoja pimbi viazi hawa
Sasa watakamata tena raia wasio na hatia kisa tu ni mgeni?
Kweli kiazi ni kiazi.
Mbona katoa machoKutokana na kuenea kwa uvumi wa taarifa katika mitandao ya kijamii zikidai kuwepo kwa maandamano awamu ya pili yanayotajwa kufanyika Desemba 9, 2025, Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Paschal Chinyele amewataka viongozi wa mitaa kufuatilia wageni wanaoingia kwenye mitaa yao pamoja na kuwataka wamiliki wa nyumba za kulala wageni kuwaripoti wageni wanaowatilia mashaka katika vituo vya polisi ili kuepusha taifa kuingia katika vurugu kama zilizotokea Oktoba 29, 2025.
Chinyele amebainisha hayo wakati akizungumza na wafanyabiashara wa Soko la Bonanza jijini Dodoma kwa lengo la kuimarisha usalama wa nchi kwa kulinda taifa lisiingie kwenye machafuko.
View attachment 3507756
Mbunge feki amefanya jambo kubwa lipi? Hio press si angeitisha mwenyekiti wa kijiji akiambie kijiji chake tu, yeye anatetea cheo chake feki cha ubunge ambacho hajakipata kwa haki ameibaAmefanya jambo kubwa sana, mchango wako ni wathamani kubwa sana.
Yaani sahivi wakikuta mrundi kwenye guest house lazima akamatwe kuhalalisha hoja yao. Cha ajabu wote waliokamatwa na kufunguliwa mashtaka ni watanzania!! Ila lawama ni wageni.
Hilo tumbo ameweka nini?Kutokana na kuenea kwa uvumi wa taarifa katika mitandao ya kijamii zikidai kuwepo kwa maandamano awamu ya pili yanayotajwa kufanyika Desemba 9, 2025, Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Paschal Chinyele amewataka viongozi wa mitaa kufuatilia wageni wanaoingia kwenye mitaa yao pamoja na kuwataka wamiliki wa nyumba za kulala wageni kuwaripoti wageni wanaowatilia mashaka katika vituo vya polisi ili kuepusha taifa kuingia katika vurugu kama zilizotokea Oktoba 29, 2025.
Chinyele amebainisha hayo wakati akizungumza na wafanyabiashara wa Soko la Bonanza jijini Dodoma kwa lengo la kuimarisha usalama wa nchi kwa kulinda taifa lisiingie kwenye machafuko.
Ni wajibu wa kila mtu hata weweHivi hii nayo ni kazi ya Mbunge?
Halafu ukiwaambia ukweli unashamgaa Mods hawa hapa PM wanakuja kukupigia beat usiseme ukweli