PostGE2025 Mbunge Dodoma, Paschal Chinyele atoa tahadhari kuelekea Desemba 9. Viongozi wa mitaa fuatilieni wageni wanaoingia

PostGE2025 Mbunge Dodoma, Paschal Chinyele atoa tahadhari kuelekea Desemba 9. Viongozi wa mitaa fuatilieni wageni wanaoingia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sheria za wapi zinataka mtu ukienda sehemu ukaripoti serikali ya mtaa?

Wenzetu kila siku wanarahisisha shughuli na taratibu za biashara, sisi watu wasioeleweka wamepataji vyeo na uongozi wanaamka tu na wanakuja na matamko yao na wanataka yawe sheria.

Halafu tunategemea viumbe hawa ndiyo watutoe kwenye changamoto zetu za kijamii, kisiasa na kiuchumi.
 
Back
Top Bottom