Mbunge Elibariki Kingu aingia kwenye kashfa ya ngono na kuzaa nje ya ndoa

Mm mwenyewe nmejiuliza haka kadada kana akili gani kichwani?! Maana anachofanya hapo ni kumchokoza mke wa Kingu huku akijifanya kumsifia ni very humble wakat anasema hajawahi kuongea nae sijui nn,sasa alijuaje tabia za huyo mama?.

Anasema hajagain kitu kutoka kwa kingu yeye anafanya shughuli gani inayomuingizia kipato?!

Pumbavu kabisa.
 
Mbona unajichanganya atamuoaje mke wa pili kama mkewe amekufa?!

Huyi dada kwny video anasema anamjua mke wa kingu ina maana alikuwa anajua uovu anaoutenda vizuri sana

Pascal yupo sawa kbs huyu ni mala.. tu
 
Mbona unajichanganya atamuoaje mke wa pili kama mkewe amekufa?!

Huyi dada kwny video anasema anamjua mke wa kingu ina maana alikuwa anajua uovu anaoutenda vizuri sana

Pascal yupo sawa kbs huyu ni mala.. tu
Mke wake yuko hai ila alimwambia ndoa yake inakufa hivyo anataka kumuoa yeye. Kingu ni muongo sana mwanamke ukiwa sio mjanja unaingia kwenye mtego wake unabaki na majuto mwishoni. Na anajua kuwadanganya sababu anawahonga sana. Huyu dada alichokosea ni kujua Kingu anamdanganya na bado akajiweka karibu na mke wa Kingu eti ni baba yake wa kiroho
 
Kapumbavu
Na malipo ni hapahapa!

Unajua mume wa mtu unazaa nae ili? Hayo machozi ya huyo mke yatakuja kumpa majibu!
 
Huyo kingu atapata muda wa kulea Huyo mtoto. ...? Mwisho ni taifa lisilokuwa na malezi yeyote, lisilo wajibika bado sisi waafrika tutasubiri sana. Mnasifia michepuko na kuhalalisha upuuzi. Acha trump atutukane ndiyo tunayoweza
Kabisa,yaani ni upuuzi tu
Halafu wanashangaa kizazi kinachokaa uchi mitandaoni ,ndo hayahaya watt wanazliwa hovyo na malezi ya hovyo
 
Sijawahi ona umeandika kama hivi. Tukisema tuanze waliozalishwa na waume za watu tutakuta malaya wengi sana.
Mzigua, usitete ujinga!, sijasema kila aliyezaa na mume wa mtu ni mala..., kanisome tena uiangalie hoja ya umala... wa huyo kicheche!. Mwanamke mwenye akili timamu, huwezi zaa na mume wa mtu, mke hajui, unakwenda kwenye media na kujiproud kuhusu huyo mwanaume, kisha unamtaja mwanaume mwingine uliyetoka naye, kisha una jiproud umevishwa pete!, hao wanaume wawili waliotajwa proudly, wametajwa kwa sababu ni al maaruf, kwenye her list, wamepita wangapi?. Kuna mambo mengine ni personal na private matters sio lazima kuyaweka in public, unajivunjia heshima!.

P.
 
Ndoa kufa mbona haichukui hata siku 3 kama kweli unaamua kumuacha mtu haiwezekani mtu anakwambia ndoa inakufa halaf kila siku anarudi kulala kwa mkewe.

Huyo anajisingizia kudanganywa ila ukweli haka kademu ni ka-gold digger kamejilengesha mimba mtu anavyoongea tu unaona kichwani empty kbs.

Mchepuko ukijitangaza hivi dawa ni kukata huduma zote huwezi mumdhalilisha mke wng hadharani
 
Hapa nimekuelewa sasa. Kwanza hakutakiwa kukubali kabisa kama ni kweli sababu sio kitu kizuri kwenye jamii yetu.
 
Hapa nimekuelewa sasa. Kwanza hakutakiwa kukubali kabisa kama ni kweli sababu sio kitu kizuri kwenye jamii yetu.
There you, sisi wanaume wengi tumezaa nje na wake zetu hawajui, the more discreet you are, they more you'll reap and well taken care off, ujinga wa huyu dada ni kama kama ule wa kicheche cha Mondi, angalau kile kina kaji uhalali kuwa kame leakisha picha, ila yule bibi aachie, waachane ili yeye ndio aolewe!, lakini kwa mume wa mtu, huku ni kumdhalilisha Mhe. Mbunge, mkewe na yeye kujidhalilisha!.

P.
 
Yule mwanamke jamani hastahili mwanaume wa vile hata kidogo. Halafu ni mzuri. Na haamini baya lolote kuhusu mumewe. Hata mwanamke wa sasa wa Kingu yule mama anamjua ila kadanganywa yule mwanamke ni dada yake Kingu wanatoka wote Singida.
Si umesemea Kingu na mkewe walikua kwenye mparanganyiko na alisharudishwa kwao ?
Sasa anamwamini vipi bado ?
 
Uko sahihi Pasko
 
huyu harlot pipi kajipigia kirahis sana.inshort mama huruma
 
Mbunge wa Iramba magharibi nijuavyo ni Mwigulu Nchemba sasa Huyo Emanuel Kingu sijui ni Iramba ipi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…