kirimirimi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 287
- 194
Hivi trump umemsikia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasiasa wengi TZ hawaheshimu kabisa familia zao...Mfano huyu Emmanuel Kingu, ana ndoa lakini bado ana michepuko kibao akiwemo Miss Shinyanga 2014, Nicole Franklin ambaye katika video hii anaongea proudly kabisa kwamba Kingu ndiye Baba mtoto wake, pamoja na kujifanya anamhurumia mke wa Kingu...wacha Trump awaite shitholes
huku huwa tuna amini tofauti na wao... huku familia kubwa huwa tuna amini kila mtoto atakuja na fungu lake... na watoto ni utajiri...Nakumbuka rais wa ufaransa aliwahi kusema kuwa tatizo la Africa ni familia kubwa kwa hiyo kipato hupotelea humo pasipp kuweka akiba