Mbunge Elibariki Kingu aingia kwenye kashfa ya ngono na kuzaa nje ya ndoa

Mbunge Elibariki Kingu aingia kwenye kashfa ya ngono na kuzaa nje ya ndoa

Kademu kenyewe kakali. Hako kukatafuna na kufunga goli kabisa siyo dhambi. Hata Sheikh Kipoozeo angekapenda maana kanaonekana hata "Mambo ipo huko"
Umeona ee, naona huyu jamaa wivu unamsumbua tu.

Au hana hela za kung'oa watoto wakali .....
 
Umeona ee, naona huyu jamaa wivu unamsumbua tu.

Au hana hela za kung'oa watoto wakali .....

Hizi ndio zile zile siasa za Mbowe sijui kazaa na nani mpaka kaenda naye Dubai. Ushenzi mtupu.
 
Huyo kingu atapata muda wa kulea Huyo mtoto. ...? Mwisho ni taifa lisilokuwa na malezi yeyote, lisilo wajibika bado sisi waafrika tutasubiri sana. Mnasifia michepuko na kuhalalisha upuuzi. Acha trump atutukane ndiyo tunayoweza
Hebu tuambie ni malezi gani ambayo unahisi huyo mtoto atakosa kwa Kingu ikiwa Kingu mwenyewe amekubali ni mwanae.
 
Back
Top Bottom