Mbunge Elibariki Kingu aingia kwenye kashfa ya ngono na kuzaa nje ya ndoa

Mbunge Elibariki Kingu aingia kwenye kashfa ya ngono na kuzaa nje ya ndoa

Nimepata jibu sasa why Lowassa bado anakomaa,maana ukiwa bwanamkubwa unakula vinono tupu!!!
 
Hapa hakuna news bali views tu. News ingekuwa jamaa ni shoga.
 
Hapo labda kosa la Kingu ni kumkana huyo mtoto au dada huyo. Hakuna mwanamke atamsingizia mimba/mtoto mtu ambaye hajajigijigi nae. Hivyo Kingu hawezi kukana kumfahamu huyo dada. Kuhusu mtoto, anaweza kuwa wake au akawa anasingiziwa. What we know for a fact is that Kingu is screwing around and 95 out of 100 men do this all the time.
 
Jamaa anajua kuchagua kweli kweli aiseee....Angalia iko chombo kilichovaa gauni la blue aiseee unaweza ukaonga laki
 
Back
Top Bottom